KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
Unataka hoja au matusi?nadhani unanijua kwamba vyote naviweza,sema leo sitaki kusema ovyo,ni hivi bwana mdogo,waulize hata members wa cc ya ccm kama wapo unaiowajua waliokuwepo kinana akiwemo watakueleza misimamo yake huko kamatini,sema alwayz maamuzi ya kikao yanatizama wingi wa wajumbe waliounga mkono jambo fulani so yeye kama yeye hata kama angependa mwisho wa siku kikao kinatoka na maamuzi ya pamoja,huo ndio utaratibu wa vikao kijana,na hii ni popote hata huko chadema kata uliko.Hizi porojo na Propaganda zako peleka Lumumba, asiyemjuwa Kinana labda kijana aliyezaliwa miaka ya 90. labda hapa ungetupa Contact ya kampuni ya kusafirisha pembe za ndovu ili na sisi tukiwa na shehena zetu tusafirishe kwa usalama.
Kinana amekuwa mjumbe wa Kamati kuu, chombo kikuu cha maamuzi katika chama je alifanya nini cha ajabu? je ni kwa nini Amekimbia Arusha? Ngongo hebu tusaidie hapa kuna watu wanatulazimisha chupa tuiite Almasi.
Lakini ukweli jamaa ni strategist mkali sana. alikuwa military strategist na sasa ndani ya ccm itakuwa balaa. kwa kuwa walimuomba akubali hiyo nafasi atataka kuwaonesha kwamba hawakukosea,huo ndio ukweli hata kama hatuupendi sana,alichofanya kibanda ni kuuamsha upinzani uje na mbinu mbadala kwa kuwa jamaa si wa katibu wa kawaida kama wawili waliopita na kumbuka sasa atafanya kazi na mzee mangula ambae nae si mtu wa mizaha wala kuchekeshana kama mzee makamba
Kuhusu alifanya nini kwenye kamati kuu,ni pamoja na kupambana vikali namafisadi kumhami spika sitta asifukuzwe uanachama ccm na kuvuliwa uspika,yeye alijenga hoja juu ya hoja kamati kuu nzima kimya na akawaambia wazi mnataka kumfukuza spika kafanya kosa wakati yeye anafanya kazi yake na kiukweli anatusaidia sana angalau kuonekana kwamba bado kuna watu ambao hawako karibu wala hawaungi mkono jambo la ufisadi ambalo wapinzani wamelishikia bango na kuungwa mkono na wananchi,baada ya hoja zae ndipo kamati ikiongozwa na mzee mwinyi na yeye kinana ikaundwa na jk