Ni jambo la kheri sana kusimama peke yako kuutetea ukweli. Ones man's freedom fighter is another man's terrorist. Kwangu mimi Kinana anazo sifa nilizozitaja na kimsingi ni tishio kwa ustawi wa upinzani. Sasa mnataka tuwe na taifa la watu wanaofikiri sawasawa kila siku? Huu hakika ni upuuzi wa kitaifa
Kaa kimya wewe na acha kuzidi kujidhalilisha.Nenda kachukue mshiko wako kwa sababu kazi uliyopewa umeifanya kwa uaminifu mkubwa.
Ni aibu kubwa kuuza utu wako kwa vijisenti kidogo huku ukiwasha moto nyumba yako mwenyewe unayolala ndani.
BTW,usibishane kijinga na kila mtu hapa jamvini huenda wengine unaojibizana nao huu ujinga unaoutetea ni waajiri wako.Ama sivyo nimekuambia tena amua moja Jiondoe nenda kaombe kazi Uhuru na Mzalendo.
Huu ni mchango wangu wa mwisho kwenye thread hii....!