Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!

- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!

Le Mutuz!!
 
Last edited by a moderator:
Sijui CCM inakwendaje sasa wakati wa mwalimu tulikuwa tunawangalia yeye kama kinara wa mapinduzi na mkuu wa nidhamu ndani ya serikali na ndani ya ccm.

Huu utaratibu wa kuwaangalia watu kama Kinana au Nape kama ndo CCM na kumsahau mwenyekiti sijui unakujaje? Kumwangalia mtu anayeweza kupigwa breki/stop wakati wowote na wakuu wake in ishara gani hii? Hamjawahi Kumwona na kumskikia Pinda katika maskata mbalimbali kama sakata la jairo? Merma na dhahabu uwahja wa ndege?

Magufuli na bomoabomoa ya waliojenga katika hifadhi ya barabara? Kwa nchi ilivo sasa kila kitu ni kwa rais na mwenyekiti wa ccm kama hayuko willing KInana, nape, Meghji ... ni kitu gani?
 
It's all about the money, na huyo jamaa ni pipeline ya money.
It's not about policies ... most Tanzanians don't appreciate the creation and subsequent execution of good policies. They want water, electricity,food .. ... the rest is just bullcrap.

Artumas, the emirates, US can deliver those things easily. Operation Sangara can't ..... Thats why he's the pain in the butt.
 
Let us not miss the point here. Tanzania Daima si gazeti la chama chochote linasimama kama gazeti huru lenye utofauti na magazeti kama ya Uhuru na Mzalendo. Pamoja na kuwa Mbowe ni owner wa Free Media bado hana ubavu wa kuingilia Bodi ya Uhariri ya gazeti. Kitaaluma Absalom Kibanda ndiye final katika gazeti ndiyo maana Mbowe hakushitakiwa kwenye kesi ya 'uchochezi' inayowakabili Samson Mwigamba, Kibanda na Theofil Makunga.

Professionally, chombo cha habari na waandishi kwa ujumla wanaongozwa na vitu kama Truth, Fairness na Balance.Kwa kuwa gazeti la Tanzania Daima linaongozwa na misingi hiyo sidhani kama ni tatizo Front page yake kubeba picha za mikutano ya CCM ndiyo maana hata wakati wa kampeni za 2010 tuliliona hili unless kama Tanz.Daima ni gazeti la chama.
Hapa unajichanganya kwa makusudi au kwakutokujuwa, Tunafahamu kwamba Tanzania Daima ni Gazeti huru ila tunachokipinga ni Absalom Kibanda kutumika, note it.

Labda wewe ndio umembaini huyu Kibanda leo lakini watu walimshalalamikia kwa kutumiwa kuwa vuvuzela la Lowasa lakini wengine tuliyapuuzia madai haya lakini sasa nimejiridhisha rasmi kwamba huyu jamaa anatumika na wala haliitaji degree kulijuwa hilo.

Kwa sababu leo ameanza kazi ya ukarani wa Kinana ndio nikasema haitashangaza hata ukiona front page za Tanzania Daima kesho kupambwa na Picha za Kinana Mtwara, ni sehemu ya mkataba wake na Kinana.
 
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!

- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!

Le Mutuz!!

@W.J. Malecela,

..mkuu acha hizo.

..mbona Mbowe juzi hapa kamsifia JK wakati alipotembelea jimboni kwake??

..unajua CCM haijapata kuteua Katibu Mkuu wenye shutuma za ufisadi kama huyu Abdulrahman Kinana.

..angalia makatibu wakuu wote wa CCM kuanzia Pius Msekwa, Daudi Mwakawago, Rashidi Kawawa, Horace Kolimba, Philip Mangula, na Mukama. wote hao ni watu ambao waliteuliwa wakiwa na sifa za uadilifu, lakini siyo huyu Kinana "mr.loliondo."
 
Nadhani wengi hamumjui Kibanda, mimi hiyo Makala niliona online nilipoanza kuisoma wala sikupoteza muda wangu kuendelea kuisoma maana ni ushuzi mtupu.

Ni kweli Kibanda anamuogopa Kinana kwa sababu Kibanda ni kibaraka wa Lowasa na uwepo wa Kinana kama katibu Mkuu wa CCM si habari njema kwa kina Kibanda & co, huyu ni mtu wa ovyo sana.

Namshangaa sana Freeman Mbowe kuendelea kumvumilia Mhariri mpumbavu wa namna na kusababi Gazeti la Tanzania Daima kushuka mvuto na kupitwa na Gazeti la Mwananchi wakati mwanzo Tanzania Daima ndio lilikuwa linaongoza. Kama kuna mtu ambaye yupo karibu na Mbowe na anapenda Tanzania Daima lifanye vizuri basi huyu Kibanda afutwe kazi mara moja na nafasi yake apewe Ansbert Ngurumo.

Mkuu Matola
Katika moja ya sifa ambazo mwandishi wa habari anatakiwa kuwa nazo ni uhuru wa kuandika; Kibanda sijasoma makala zake ila haandiki habari kwasababu ya kumfurahisha Mbowe; anaandika kuelemisha jamii ya watanzania; tatizo lenu makamanda mnataka habari za kusifiwa Dr. Slaa hata kama habari zenyewe hazina mshiko. wakuu jaribuni kuelemika! sasa Ansbert Ngurumo unayemtaka ndiye unayemuona kibaraka mzuri au ana uwezo mkubwa wa kuandika habari unazota kuzisikia?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
kwangu mimi sipingani na huyu mwandishi mwenye makala hii kwani na yeye ni mwanadamu kama walivyo wanadamu wengine kwa maana ya kuwa na mapenzi na mtu fulani
Lakini wasiwasi wangu ni kuwa je huyu mwandishi ifikie hatua aeleze uhalisia wa mambo na siyo kutumia muda mwingi kuongea wasifu wake wa nje kwani mwisho wa siku kiongozi husifiwa makini mbele ya watu kwa mambo chanya aliyoyafanya na wala siyo maneno aliyosema kwa kipindi chote cha uongozi wake.
Hivyo basi nilitegemea huyu mwandishi atupatie wasifu wake kiutendaji hasa kwetu sisi ambao tumezaliwa miaka ya hivi karibuni kwa maana ya kuwa hatujakomaa sana katika tasnia hii ya siasa ili tuweze kujua mbali ya kuwa jenalali msitaafu wa jeshi na meneja kampeni wa kikwete mwaka 2010 alifanya nini hasa katika tasnia ya siasa ya nchi hii hadi ifikiae hatua kuuaminisha umma wa watanzani kuwa kinana ni mpiganaji
Labda nimkumbushe kidogo huyu mwandishi wa makala hii kitu kimoja ambacho aweza kuwa hakifahamu au amesahau ya kuwa siasa ni mchezo mmoja ambao usipokuwa makini waweza cheza ngoma ambayo muziki wake haujulikani kwa maana ya kuwa waweza kuwa na dhamila safi kukivusha chama chako upande wa pili wa bahari lakini kutokana na ubinafsi na uroho wa wanachama ndani ya chama ukaonekana kuwa msaliti na mzuiaji wa maendeleo ya wenzako
Hivyo basi kuchaguliwa kwa kinana kama katibu mkuu wa ccm kwangu mimi kunanipa nafasi ya kuweza pengine kuhalalisha utendaji wake kama mpiganaji kama wengine wanavyompambanua au kuomba aondolwe katika nafasi hii hata kabla ya muda wake kutimia
Haya ni maoni yangu tu kwa mujibu wa katiba ya nchi
Naomba kuwasilisha
 
@W.J. Malecela,

..mkuu acha hizo.

..mbona Mbowe juzi hapa kamsifia JK wakati alipotembelea jimboni kwake??

..unajua CCM haijapata kuteua Katibu Mkuu wenye shutuma za ufisadi kama huyu Abdulrahman Kinana.

..angalia makatibu wakuu wote wa CCM kuanzia Pius Msekwa, Daudi Mwakawago, Rashidi Kawawa, Horace Kolimba, Philip Mangula, na Mukama. wote hao ni watu ambao waliteuliwa wakiwa na sifa za uadilifu, lakini siyo huyu Kinana "mr.loliondo."
Mkuu
Kama hoja ya kashfa hakuna iliyombaya kama kuzini na kuvunja ndoa za watu; hizi zenu dhidi ya Kinana ni tuhuma tu hazijathibitishwa na chombo chochote cha kisheria!" pressumed innocent until proven guilty by court of law" Kama ni usafi Dr. Slaa anausafi gani wa kimaadili mpaka akapewa ukatibu mkuu wa Chadema? Tujuze mkuu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Matola
Katika moja ya sifa ambazo mwandishi wa habari anatakiwa kuwa nazo ni uhuru wa kuandika; Kibanda sijasoma makala zake ila haandiki habari kwasababu ya kumfurahisha Mbowe; anaandika kuelemisha jamii ya watanzania; tatizo lenu makamanda mnataka habari za kusifiwa Dr. Slaa hata kama habari zenyewe hazina mshiko. wakuu jaribuni kuelemika! sasa Ansbert Ngurumo unayemtaka ndiye unayemuona kibaraka mzuri au ana uwezo mkubwa wa kuandika habari unazota kuzisikia?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu No Research no right to speak, humjui Kibanda ni vyema ukawa msomaji tu hapa, umeshasema hujawahi kusoma makala zake sasa unapata wapi uhalali wa kuchangia haya tunayomshutumu?

Huyu ni Smile Killer analiuwa gazeti la Tanzania Daima huku akijifanya yeye ni mpiganaji na kwa taarifa yako huyu ni mmoja wa watu waliopo kwenye Payroll ya Lowasa kupitia Fred Lowasa, ila sijaelewa bado Kinana ameweza vipi kumteka huyu jamaa!! am just curious.....
 
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!

- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!

Le Mutuz!!

Hoja si Kibanda kuajiriwa na Kampuni ya Mbowe hoja ni Kibanda kumpamba Kinana na kumpa sifa asizostahili huku akipuuza na kuziona si lolote kashfa ambazo zinamuandama kama za Meli yake kusafirisha nyara za Serikali/magendo. Lakini pia Kibanda ametumia sifa dhaifu kumvika ushujaa Kinana.

Jiulize tu Uluteni wa jeshi wa Kinana utauaje upinzani? Uzoefu wake wa Uwaziri utauaje upinzani? Kuwa kwake kampeni meneja wa Mkapa na Kikwete kutauaje upinzani? Ana utofauti gani na akina Mangula, Makamba, Mukama na makada wengine kibao wa CCM ambao wameshindwa kuutokomeza huo upinzani? Yeye hakuwepo kabla ameshushwa kutoka mbinguni? Mtu makini alitegemea Kibanda aunganishe dots za hoja zake na kuja na hitimisho lilisilo hojika lakini kapiga chini.

Ana uhuru wa kumuelezea Kinana anavyotaka lakini si kwa kupotosha na kuover look mambo ya msingi. Kwa mfano ni kwa vipi ampe Kinana uwezo wa kuuzika upinzani wakati miaka yote amekuwa ndani ya CCM akiwa mjumbe wa NEC na CC vyombo ambavyo decisionally ni vya juu? Ina maana Kinana mwenye mbinu za kuua upinzani amekuwa kimya muda wote akishuhudia mdororo na kuelekea kuzimu kwa chama chake cha CCM kutokana na upinzani kushika hatamu? Mbona Kinana huyohuyo kaja na kasi ya kuanza kukopi na kupaste ilani na sera za CDM kama kupunguza bei za vifaa vya ujenzi?

Kibanda katumia hoja rahisi sana unless kama kuna sehemu ya pili ya makala hiyo ambayo itaeleza namna Kinana anaweza kuvizika kweli vyama upinzani. Ametumia hoja hafifu katika masuala magumu na yanayogusa mustakabali wa taifa.
 
Mkuu
Kama hoja ya kashfa hakuna iliyombaya kama kuzini na kuvunja ndoa za watu; hizi zenu dhidi ya Kinana ni tuhuma tu hazijathibitishwa na chombo chochote cha kisheria!" pressumed innocent until proven guilty by court of law" Kama ni usafi Dr. Slaa anausafi gani wa kimaadili mpaka akapewa ukatibu mkuu wa Chadema? Tujuze mkuu!

Chama
Gongo la mboto DSM
Hata Chaguzi za CCM hazikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha sheria kilichothibitisha, kwahiyo anza kwanza kumwambia Sumaye na Phillip Mangula waache kuropoka kwamba kulikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha kisheria kilichothibitisha.
 
chama,

..katika hiyo orodha ya makatibu wakuu wa CCM wapo waliokuwa na matatizo kama ya Dr.Slaa.

..hakuna haja ya kuyaleta humu kwasababu wengine wameshatangulia kwenye haki, na wengine bado tunao.

..masuala ya Kinana ni kwasababu yupo CCM wenye serikali, lakini nakuhakikishia angekuwa upinzani halafu anacheza-cheza na pembe za ndovu ungekiona cha mtema kuni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu No Research no right to speak, humjui Kibanda ni vyema ukawa msomaji tu hapa, umeshasema hujawahi kusoma makala zake sasa unapata wapi uhalali wa kuchangia haya tunayomshutumu?

Huyu ni Smile Killer analiuwa gazeti la Tanzania Daima huku akijifanya yeye ni mpiganaji na kwa taarifa yako huyu ni mmoja wa watu waliopo kwenye Payroll ya Lowasa kupitia Fred Lowasa, ila sijaelewa bado Kinana ameweza vipi kumteka huyu jamaa!! am just curious.....

Nimekusoma wewe na hii makala mliyotuwekea huitaji hata cheti ualimu kuelewa mtiririko mzima; kilio chako unataka Kibanda aandike habari bila ya kuwa na uhuru wa mawazo! siku moja moja ni PM nakala za Kibanda huku nahangaika sana Washington Post; WSJ; News week na mengineyo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hata Chaguzi za CCM hazikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha sheria kilichothibitisha, kwahiyo anza kwanza kumwambia Sumaye na Phillip Mangula waache kuropoka kwamba kulikuwa na Rushwa maana hakuna chombo cha kisheria kilichothibitisha.

Bado ni tuhuma tu ! Pressumed innocent until proven otherwise!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi namuogopa
Absolom Kibanda kuliko yeye anavyomuogopa Kinana na nahisi wametoka
mbali. Ni nani angeweza kupewa list ya majina ya Kamati ya utendaji ya
CCM usiku wa kuamkia kikao cha NEC kuwa Kinana ni katibu mkuu na list
nzima na kuitoa kwenye gazeti la Tanzania Daima wakati Kikao kikiendelea
na tulijua sio yenyewe au Mwenyekiti JK angebadili baada ya kuvuja
lakini wapi ikatumika list ya kwenye gazeti la Absolom Kibanda ambayo
hata hapa JF iliingia saa 5:00 usiku kabla ya alfajiri.
Mimi sioni mantiki ya kumtimua JEMBE kama hili wakati Chama chenyewe ni
cha Demokrasia

mada ya utaki unaacha ilishaeleza mmoja kati ya viongozi wa CDM siyo Zito atagombea urais dhidi ya Slaa
 
Nimekusoma wewe na hii makala mliyotuwekea huitaji hata cheti ualimu kuelewa mtiririko mzima; kilio chako unataka Kibanda aandike habari bila ya kuwa na uhuru wa mawazo! siku moja moja ni PM nakala za Kibanda huku nahangaika sana Washington Post; WSJ; News week na mengineyo!

Chama
Gongo la mboto DSM
Kila Jumatano usikose kuzisoma online kupitia www.freemedia.co.tz/daima/
 
- Absalom Kibanda, my good and close friend, ni wa kumsamehe cause yeye anaajiriwa na Gazeti la Mbowe, Tanzania Daima ambalo mission yake inafahamika ya kuitukana CCM kila kukicha so is wafanyakazi wote wa Mbowe wanajulikana kuwa moja ya masharti ya kulipwa ujira wao ni kuitukana CCM at any cost, sasa ningeshangaaa sana asingemuogopa KAtibu Mkuu Mpya wa timu ya ushindi, hasa baada ya KAtibu asiyemuogopa kuongoza Chadema kwenye kushindwa Udiwani!!

- Absalom ni wakati mufaka sasa kutangaza conflict of interest, maana huwezi kuajiriwa na Mbowe halafu ukawa objective inapokuja ishus za CCM!!

Le Mutuz!!

Le Mutuz
Kibanda ni tumikia kafiri upate mradi wako? Ipo haja ya kumpiga msasa aandike habari kwa kufuata miko na kanuni za uandishi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
huu ni mtizamo wa Kibanda na hautuzuii sie wengine kumuangalia Kinana katika upande ambao yy kama mwandishi amegoma kuutumia katika makala yake. Huwezi jua anamwogopea nini binadam mwenzake ila tunamshukuru kwa mtizamo wake na yaliyoyakweli basi tutayafanyia kazi na mengine tutampuuza kama alivyopuuza kuzungumzia upande mwingine wa Kanali mstaafu Kinana
 
@W.J. Malecela,

..mkuu acha hizo.

..mbona Mbowe juzi hapa kamsifia JK wakati alipotembelea jimboni kwake??

..unajua CCM haijapata kuteua Katibu Mkuu wenye shutuma za ufisadi kama huyu Abdulrahman Kinana.

..angalia makatibu wakuu wote wa CCM kuanzia Pius Msekwa, Daudi Mwakawago, Rashidi Kawawa, Horace Kolimba, Philip Mangula, na Mukama. wote hao ni watu ambao waliteuliwa wakiwa na sifa za uadilifu, lakini siyo huyu Kinana "mr.loliondo."

- Na wewe kurukia treni kwa mbele ndio nini? Kumbe hujui shutuma nzito alizonazo Rais wako Dr. Slaa za kuiba mke wa mtu na kuongozwa na mkewe!! wacha siasa za makengeza bro!

- So what they are just shutuma kama vipi!!

Kakangu LeTotoz, Rais wa Ngwasuma. Muda mwingine unaonekana una akili kuliko kufungua mdomo wako. Hauna tofauti na yule ndugu yako Rais wa Akuda, anayefanana katoto kanako balehe, mwenye suruali nyeupe, anayepaki V8 kando kupiga picha kuja kutudanganya wadangayika kwamba anasafiri na bajaj ili apate sifa.

Hatudangayiki tena. Magamba nyie ni sikio la kufa hamsikii dawa. Nyepesi ni kwamba, Rais wetu ana ndoa, siyo sawa na wewe unayekimbia mke na watoto. Uliaga vipi ukiondoka marekani kurudi bongo? Kwa Obama naskia unatafutwa child support.....Jaribu kuwa na heshima kwa wazee wako. Tukianza ya Mzee Malechela na wakina Mama Kilango/Rita Mlaki utafurahi?
 
Back
Top Bottom