Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waliokutuma kwamba wenyewe wamekataa kufungua mlango.
Mkuu acha kupotosha kwa makusudi.Kibanda aipoandika makala ya kuichonganisha serikali na majeshi yake baadaye akashtakiwa kwa uchochezi, baadhi yetu tulitokwa povu na kudai ameonewa. Leo Kibanda ameandika kuhusu uhalisia wa Kinana tofauti na tunavyomfikiria, mnamtukana na kumpa majina yote mabaya. Watanzania bwana hovyo kabisa. Kibanda ni sawa na walivyo akina Slaa na wenzake, wakifanikiwa kuiona neema ya nchi mtawaona wanavyobadilika. Mkishangaa ya Kibanda utayaona ya Slaa.
Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania anayeweza na kudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete. " Absalom Kibanda"
Usishangae kukuta front page ya kesho kupambwa na picha za Kinana akiwa ziarani mikoa ya kusini.Washauri wanaMagamba wenziyo kununua gazeti la Tanzania Daima kila siku kuanzia leo kwa sababu sasa hivi ni kama Toilet Paper ya Kinana.
Usishangae kukuta front page ya kesho kupambwa na picha za Kinana akiwa ziarani mikoa ya kusini.
Hawa ndiyo washirika wa Kibanda na ndiyo watetezi wake wakuu hapa jamvini leo.
HakyaMungu mimeamini njaa mbaya.Even Kibanda? Lord have Mercy on us!
Na tutasusia kweli.Asiandike chochote kuhusu Chadema wala M4C akidhani kwamba chama kitakwama.Anajidanganya.Mwaache aambatane na Kinana kwenye ziara zake ili azidi kumsifu na makala zake na gazeti lote liandike habari kama uhuru na Mzalendo.
Nimhakikishie Kibanda hawezi kukwamisha Mageuzi.Chadema itatangazwa tu,hata Nipashe linatosha.
Ni kweli hata mimi naona, kuna misingi yake kama ya Uhuru na Mzalendo, Jambo leo, Rai Al Huda, Al Nuur na baba la Habari Leo huku ukimalizia na TBC.
Usishangae kukuta front page ya kesho kupambwa na picha za Kinana akiwa ziarani mikoa ya kusini.
Tungejenga hoja za klupingana kwa namna hii, tungesaidia kujijenga kifikra. Hii ndiyo critical appraisal inayopaswa kufanywa na watu walioenda shule.