Hapa kwa singida kwa sasa mmiliki ni mwingineMwigulu anamiliki timu ya SINGIDA BIG STARS lazima akili yake ipagawe maana wachezaji na timu yote inahitaji Kula Sasa akili za kutatua matatizo ni kukopa Kwa Kasi ili afanyie mambo yake.Usisahau hata kassimu majaliwa anamiliki timu ya namungo Kwa hiyo hawa wapo tayari kuuzwa ,kupapaswa,na Jambo lolote lakini timu zao ,zifanyekazi
Nadhani kila mtu humu atakuwa anakushangaa.Billion 70 nayo mpaka Mwarabu.
Hakika awamu hii Waarabu watafaidika sana.
Ila wakati mwingine tunatia aibu, Tanzania ni ya kukopa bil.70 Wakati Kuna Rais wa Wanyonge alificha Bilioni 100 ndani?Ni jambo jema
Bora ya umeme wa Uganda kuliko huu umeme wa tz wa mgaoNi jambo Jema la maendelea Ili muache kuwachekea Wana Kagera kwamba ni maskini kumbe hata umeme hawana.
Na la AIBUNi jambo jema
Sio Msahada ni MKOPOSasa hapo mfaidika ni muarabu au ni nyie ambao munasaidiwa?
PoleMkataba unasemaje?
Tunawapa nini in exchange?, maana tunajua hakuna free lunch
Usije ukakuta mmewapa concenssions ya rasilimali zetu kibao ili mpate tu hivyo vijisenti vya bilion 70 ambavyo hata sisi tunaweza kuvipata tukibana mianya ya ufisadi na kubana matumizi!
Leteni habari za mchakato na si event!
Hao wanamahaba tu na mapenzi kwa watanzaniaAwamu hii Warabu wako kasi na Tz sijui wamepewa na kuahidiwa nini aisee