Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

Ni aibu kwa nchi kukopa bilioni 70 wakati waziri na naibu waziri wanaendesha gari za milioni 400.
Ni kutokuwa na akili
Kweli matajiri wa bongo wote hawa hakuna mwenye Bil 70[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] mamaee hii nchi umaskini umezidii kwa kwelii...!! Aibuu sanaaaa.. bajeti ya nchi Trilion 13 alafu tunakopa Bil 70???? Au ndo kuoneshaa Waarabu wana moyo mzurii tuwape bandariii.
 
IMG-20230810-WA0007.jpg

Kama nikweli basi tutarajie kutokatika umeme, Mungu asaidie lipite hili.

Mungu ibariki EMIRATES na watu wake.
 
Nchi kama ina laana hii, upigaji mwingi mnoo.. Kwana mradi unahitaji bilioni 113 sijui.
Lakini opec katoa 60b, marekani b 13 bado tumeenda kukopa bilioni 70b.
Jumla b143.

Yote 9, taifa linakopa bilioni 70 serious, miwaziri inatembelea magari ya milioni 400 huko!!
 
Back
Top Bottom