Abu Ubaida, msemaji wa Alqassam brigade ya Hamas asema mateka waliokwishakufa wamefikia 70

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Msemaji maarufu wa kikosi cha kivita cha Hamas ambaye kwa takriban mwezi mzima uliopita hakusikika akitoa takwimu za uwanja wa mapigano,leo amesema mateka 9 wanaowashikilia wamekufa kutokana na mashambulio ya jeshi la Israel huko kusini ya Gaza.
Kwa idadi hiyo,Abu Ubaida amesema jumla ya mateka waliokuwa wakiwashikilia ambao wamekufa imefikia 70.
Abu Ubaida ameeleza hayo kupitia chaneli yao ya telegramu ambayo imekuwa ikitoa matangazo kila siku kutoka Gaza tangu vita vianze hapo mwishoni mwa mwaka jana.
Matangazo hayo huwa yanaendelea hata umeme ukiwa umezimwa na mawasialano ya intaneti kukosekana eneo hilo.
Kurudi kwa Abu Ubaida kunapingana na matangazo ya awali ya Mosad yaliyoashiria kifo cha kiongozi huyo wa Hamas.
 
Abu ubaida Kafufuka tena enh after Mwezi kavunja record ya Undertaker rise from Dead
 
Ndio mambo yao hayo Hamas katika kuwapiga chenga IDF
Yahya Sinwar mwenyewe Israel waliyemuonesha akitembea chini ya mapango na familia yake inasemekana anaingia na kutoka Gaza bila kuonekana na IDF.
huwa anafanya mazungumzo na wenzake halafu anarudi uwanja wa mapambano.
 
Kuna uwezekano Mateka wamehamishiwa Egypt sinai. Ndio maana Egypt hataki Israel achulue mpaka
 
Hatua iliyobaki Israel inayodhani ndio inamaliza kazi ndiyo itakayokuwa ngumu zaidi na hatari kwake.
 
Msemaji maarufu wa kikosi cha kivita cha Hamas ambaye kwa takriban mwezi mzima uliopita hakusikika akitoa takwimu za uwanja wa mapigano,leo amesema mateka 9 wanaowashikilia wamekufa kutokana na mashambulio ya jeshi la Israel huko kusini ya Gaza.
Kwa idadi hiyo,Abu Ubaida amesema jumla ya mateka waliokuwa wakiwashikilia ambao wamekufa imefikia 70.
Abu Ubaida ameeleza hayo kupitia chaneli yao ya telegramu ambayo imekuwa ikitoa matangazo kila siku kutoka Gaza tangu vita vianze hapo mwishoni mwa mwaka jana.
Matangazo hayo huwa yanaendelea hata umeme ukiwa umezimwa na mawasialano ya intaneti kukosekana eneo hilo.
Kurudi kwa Abu Ubaida kunapingana na matangazo ya awali ya Mosad yaliyoashiria kifo cha kiongozi huyo wa Hamas.
Israel kazidisha huruma, apige dekio hili eneo

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uwezekano Mateka wamehamishiwa Egypt sinai. Ndio maana Egypt hataki Israel achulue mpaka
Angekuwa egypt anajua hao mateka walipo angekuwa ameshasaidia wapatikane maana mursi na Mohamed bin salman wanajulikana km ni vibaraka wa israel na USA
 
Ni Elsisi
Mursi alikwishakufa.Na angekuwa hai Israel asingewahi kuingia Gaza.
 
Back
Top Bottom