GE2025 Abubakar Asenga: Awamu hii mkinichagua ni mtaa kwa mtaa barabara za changarawe

GE2025 Abubakar Asenga: Awamu hii mkinichagua ni mtaa kwa mtaa barabara za changarawe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Asenga ameahidi kutatatua changamoto ya miundombinu ya barabara za mitaa kwa kupata kilomita 10 za kiwango cha changarawe kila kata, ahadi hizo ametoa kwa wananchi wa jimbo hilo na kuomba apewe ridhaa ya kuendelea ili atimize na kutatua changamoto hizo kwa awamu nyingine.


 
Back
Top Bottom