Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kiki kila eneoJamani si nasikia mwanamke mwenyewe ni shangazi yake...
Tena soudy alimpigia,shangazi akasema kwani kufumaniwa ajabu....
Au story ilipikwa???
Au Abuu kamkodi huyo manzi ndo ajifanye alifumaniwa nae???
Mmmm
Duuh makubwaJamani si nasikia mwanamke mwenyewe ni shangazi yake...
Tena soudy alimpigia,shangazi akasema kwani kufumaniwa ajabu....
Au story ilipikwa???
Au Abuu kamkodi huyo manzi ndo ajifanye alifumaniwa nae???
Mmmm
Watakua wamekula ...tena sikuhizi wamekua wajanja wanakufwiira kimya kimya..hamna kukupga mapicha mana ni ushahidiSo zile tetesi kuwa wagoni wake walifungua kisoda sio za kweli?
hahahah ila sio q chief uyo mkuu.Yani hilo jimama la kiswahili haswa..kweli vijana tutafute hela huyu q chf hapo kafuata hifadhi tu
Na linadai eti lilikua na video ya mme wake?? Akiwa anafanya nn??anajisaidia au alikua analimega??? Me hata sijalielewa
Nimesha rekebisha...hahahah ila sio q chief uyo mkuu.
Niliona kwenye weekend chart show akidundwa baada ya kufumaniwa. In short alichezea migumi had damu zikamtokaJamani si nasikia mwanamke mwenyewe ni shangazi yake...
Tena soudy alimpigia,shangazi akasema kwani kufumaniwa ajabu....
Au story ilipikwa???
Au Abuu kamkodi huyo manzi ndo ajifanye alifumaniwa nae???
Mmmm
Usijali. Ndio tulipofikia huku.mmhh!
Cha ajabu sijaona hata kovu......hii movie tu, hakuna uhalisiaNiliona kwenye weekend chart show akidundwa baada ya kufumaniwa. In short alichezea migumi had damu zikamtoka