Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Abubakari Mzuri ameelezea kuwa hakufumaniwa bali alikuwa akiishi na mwanamke aliyekuwa ameechana na bwana wake kwa mwaka mzima
Na mtu akaona wivu na kwenda kumfanyia vurugu, mwanamke huyo pia alikuwa nae na kufafanua jambo hilo lilisukumwa na wivu wa huyo jamaa na walikuwa wameshaachana muda mrefu