Abubakar Mzuri afafanua kuhusu kufumaniwa kwake

Abubakar Mzuri afafanua kuhusu kufumaniwa kwake

Ila vijana wa mjini mjifunze kufanya kazi, kupaka poda na kusubiri kulelewa mwisho wake ni fedheha tu kila siku.
 
King kiba alifuta nn? Inamaana Joket ali.......???
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kanicheksha eti amerudi kama Kiba, kama alitoa huo mfano kwa mashabili wa WCB ndio maana walimpiga bas
 
ha ha ha ha ha aisee kwel halua haina makombo....
 
Huyu Abubakari ndo nani hapa Bongo?
Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege wewe
 
Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege wewe
Mkuu mbona povu jingi? Mimi kuuliza kuwa tu ni nani nikiwa na nia ya kutaka kumjua umeniita mpaka bwege?

Ok,sawa!
 
Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege wewe

unaelimu gani samahani lakini?
 
nadhani ulikua darasa la pili au la tatu kipindi anashika nafas ya tatu kwny BSS nyuma yakina jumanne iddi na mbele ya kina kalah jeremiah,
Kala Jeremiah na Jumanne Idd walishiriki mwaka mmoja, kina Aboubakar Mzuri walifatia nadhani
 
Back
Top Bottom