MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
Ila vijana wa mjini mjifunze kufanya kazi, kupaka poda na kusubiri kulelewa mwisho wake ni fedheha tu kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa BSS ( Bongo Stat Search) sikumbuki yeye wa mwaka ganiWho the hell is Abubakar Mzuri?
Toba....[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]So zile tetesi kuwa wagoni wake walifungua kisoda sio za kweli?
Swadakta.....Huyu Abubakari ndo nani hapa Bongo?
Huyu Abubakari ndo nani hapa Bongo?
Ali kuwa mshiriki wa bongo star search ule mwaka alioshinda jumanne idd pamoja na washiriki wengine km kala jeremiah baada ya mashindano alitoa wimbo wke nenda mweleza n ulibamba baada hapo akapoteaSwadakta.....
Ngoja nisubirie wakujibu
Waziri wa afyaHuyu Abubakari ndo nani hapa Bongo?
Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege weweHuyu Abubakari ndo nani hapa Bongo?
Mkuu mbona povu jingi? Mimi kuuliza kuwa tu ni nani nikiwa na nia ya kutaka kumjua umeniita mpaka bwege?Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege wewe
Hovyoooo hujui uko jukwaa gani babu? hili ni jukwaa la ma celebrity na udaku kama unataka mambo ya maguful na chadema nenda jukwaa la siasa unatukata stimu bwege wewe
nadhani ulikua darasa la pili au la tatu kipindi anashika nafas ya tatu kwny BSS nyuma yakina jumanne iddi na mbele ya kina kalah jeremiah,Who the hell is Abubakar Mzuri?
Kala Jeremiah na Jumanne Idd walishiriki mwaka mmoja, kina Aboubakar Mzuri walifatia nadhaninadhani ulikua darasa la pili au la tatu kipindi anashika nafas ya tatu kwny BSS nyuma yakina jumanne iddi na mbele ya kina kalah jeremiah,
kumbuka vzurKala Jeremiah na Jumanne Idd walishiriki mwaka mmoja, kina Aboubakar Mzuri walifatia nadhani