Abuse..( Dhuluma)

my dear samhani sana
ila huo ni mfano tu ..
na nimeweka hivyo maana
ni majority (wanawake na watoto)
mara nyingi lakini kweli kuna
wanawake wengine ni sumu pia..
samahani kama nimekukwaza



Ukichuja unadhurumiwa haki zako zote za msingi
 

Kimahesabu waadhirika wakuu ni wanawake na watoto mydear; kimwili, ngono na kutelekezwa Ila matusi waathirika wakubwa ni wanaume majumbani ndio hudhalilishwa kwa kiasi kikubwa pia makondakta wa daladala na madereva wao, wenye magari (tunajiita madereva) hapa dsm wana/tuna matusi sana. hate ipo upande wote na inasababishwa na rangi, kabira, dini, utaifa matabaka nk waathirika wakubwa ni minority. sina uhakika kama nimeandika ulichotaka niandike mydear
 
my dear samhani sana
ila huo ni mfano tu ..
na nimeweka hivyo maana
ni majority (wanawake na watoto)
mara nyingi lakini kweli kuna
wanawake wengine ni sumu pia..
samahani kama nimekukwaza
Naandaa mkanda aliosema CPU hapo juu!
 


Hii ndo dawa yenyewe ya kumaliza ugomvi.

Angalia mpwa usipige usoni maana SAW amekataza refer video ya mchungaji.
haka nako ni ka kupeleka lupango,tumikono twenyewe twa kupiga mtu tuko wapi?
 


hapa naoana Verbal abuse pamoja na hate
sasa CPU my dear dahhhhh pole sana
umeweza msaidia vipi??
au umepa maneno gani ya kumfariji??
 
Reactions: CPU

dahhh my dear
hiyo number kwenye red
menishtua kidogo jamani mmmhh
kwa hiyo unasema percentage kubwa ya watu
wamepitia some sort of abuse??
 

Very very happy to hear that...
Big Up TZ.. sante Bishanga sante sana
 


Ukichuja unadhurumiwa haki zako zote za msingi

Huyu mdada kulia ni mzuri sana kwa muonekano.
Hata nikimuona ktk maigizo yake na sauti yake kwa kweli yuko kipekee.
Binafsi nakiri (mimi kama mwanaume) amenivutia sana kwa sifa za muonekano
Tatizo ni tabia za kichwani mwake
Atakae muoa huyu, kama akiwa mtu wa aina ya Dudu Baya uzuri wake wote utapukutika
 
haka nako ni ka kupeleka lupango,tumikono twenyewe twa kupiga mtu tuko wapi?

Yaani ukiangalia mikono yake, hauna tofauti na wa huyo mdada
Basi tu mdada wa watu hajiamini, angeweza kumdunda vizuri
 

Nasikia amesha mwagana na Diamondo anajiita rais wa wasafi

Sijui anamnyemelea mzee wa combinanga? Lakini hamuoni kama nae anafanya dhuruma ya mapenzi?
 
hapa naoana Verbal abuse pamoja na hate
sasa CPU my dear dahhhhh pole sana
umeweza msaidia vipi??
au umepa maneno gani ya kumfariji??

mambo mengi sana nilimsaidia nikishirikiana na wanaume wenzangu. Yaani tulishughulika na Mume zaidi kuliko mke
Lakin hatua ya kwanza ilikuwa ni kutambua rafiki best wa Mume.
Tulimsoma tabia na mienendo yake kwanza
Tukamtengenezea bifu la kufa mtu
Alikosa amani kabisa, akajiona kama ameshatengwa.
Akaamua kutuomba tumuambie alichotukosea ili ajirekebishe (aliongea kwa upole)
Hapo sasa ndio tukaamua kumpa LIVE ZA USO (yaani tulimwambia visa vyote alivyokuwa anamfanyia mke wake)

Alivyobadilika sasa hivi utasema hajawahi kuwa mkatili au ni mpole sana na anampenda sana mke wake. Utamsifia mke kwamba amepata mwanaume wa kweli
 
Nasikia amesha mwagana na Diamondo anajiita rais wa wasafi

Sijui anamnyemelea mzee wa combinanga? Lakini hamuoni kama nae anafanya dhuruma ya mapenzi?

Wanaume wote wanajua kwamba huyu mdada amewahi kuvuta bangi (sijui kama bado anaendelea au la)
Hivyo wanapoingia nae kimahusiano wanajua huyu si MKE bali ni NUNGA LA EMBE.
Yaan wanam-treat ki-bangi bangi kama akili zake. Wanadunga wanatambaa.
Bora ufe kwa ukimwi kuliko kuoa mwanamke wa aina hii
 
mmmmhhhhhh
we ni fujo nyingi tu
mi si nakujua wewe
hahahaaahh lol

Hivi wana respond vipi kwako
pale unaporopoka kama uji wa ugali
hahahahha lol

mhh...uji wa ugali??
wa-respond vipi tena wakati mie ndio boss wao!
 
unaweza sema asilimia 75
ya ndoa zina unyanyasaji hasa kwa wanawake......
na athari zake ni mpaka kwa watoto.....
tanzania...
 
AD,

Hii topic imenigusa sana. Labda kwa vile mimi ni victim kwa namna moja au nyingine wa domestic violence na pia kwa vile mimi nachukia haya mambo. Nadhani haya matatizo yanajitokeza sana kwenye familia zetu kwa sababu watu wanatanguliza ubinafsi zaidi. Iweje mtu amtendee mwenzie yale ambayo asingependa kutendewa?

Kuna jamaa yangu alikuwa mpenzi sana wa vibinti vidogo. Ila watoto wake (girls) walipofikia umri wa puberty alipiga marufuku vijana wa kiume hata ndugu zake wa karibu kuja kukaa kwake!!!

Nitarudi tena baadaye.


Mzee DC.
 
Upo sahihi ila yanasababishwa na ubinafsi,kukosa elimu,umasikini na magonjwa kama kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…