Abuse of office over ‘money laundering charges’ by prosecution machinery in Tanzania

Abuse of office over ‘money laundering charges’ by prosecution machinery in Tanzania

Lisu atysaidie maana ya money laundering.
Ninavyo jua kutakatisha pesa ni kusafisha pesa iliyo patikana kwa njia isiyo halali ionekane halali.
Mfano umetapeli bilioni moja ukiweka benki unaweza gundulika.
Sasa unatafuta mali yenye thamani hiyo tuseme petrol station unainunua kwa shilling bilion 1 lakini muuzaji anaandika umenunua kwa 500,000.000 na unaenda benki unakopa hizo pesa.
Au una rafiki Arabuni unampa billion hapa akienda huko Arabuni anakutumia pesa. Hiyo ñdiyo money laundering.
Lakini ukinunua mali ya ya serikali kwa bei ndogo tuseme ununue Bandari ya Mtwara kwa bilion 500 na huku thamani yake ni tirion 10.
Nawe utkuwa umetakatisha pesa kwasababu utakuwa umelipa zaidi ya iliyo andikwa
 
Tanzania: Court Acquits Five Over Money Laundering

By Faustine Kapama
THE prosecution has lost another money laundering case involving 3.8bn/- against five people, including officials with the Tanzania Revenue Authority (TRA) and National Commercial Bank (NBC), which was pending at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.

Principal Resident Magistrate Kwey Rusema acquitted the accused persons, Justice Lunina Katiti, Samwel John Renju, Haggay Nelson Mwatonoka, Hope George Lulandala and Eric Tulemwa Lugeleka, for lack of sufficient evidence.

The magistrate ruled in favour of the accused after the prosecution failed to prove charges beyond reasonable doubts, as required in criminal case.

The prosecution expressed their desire to appeal to the High Court. This is the third time the prosecution is losing conviction in such kinds of trials. In the case, the freed persons were facing a total of 14 counts relating to conspiracy to commit an offence, stealing, money laundering, diversion of funds and transfer of proceeds of corruption.

The prosecution had alleged that the offences were alleged to have been committed between May and November 2008, within the city.

The accused persons were alleged to have conspired to steal a total of 3,802,017,775.57/-, property of TRA. It was claimed that on June 6, 2008 in the city, the accused stole 960,148,290.15/-, whereas on September 18, 2008, the accused persons allegedly stole 1,426,450,684.05 while on November 20, 2008, they were accused of stealing 1,415,418,801.37.
Ungeiambatanisha hii na bandiko lako namba moja pale juu.
 
Ni kesi ya mwaka gani ...ilipelekwa mwaka gani na imeamuliwa mwaka gani?

Wale wezi wa kuku wanaoshinda kesi ni wangapi na kwa nini hatujawahi kusema prosecution machinery inaabuse office kwa kuwapeleka wezi wa kuku mahakamani ambao kila mara hushinda kesi?
 
Hahaaaa..wakimamlizana na wahindi wataanza na kina Mengi..ukila nyama ya mwanadamu huwezi kuacha
 
~~~>>>Chagua lugha moja ya kutumia ktk bandiko lako eidha Kiswahili ama Kiingereza.

Hili bandiko lako kwa Uandishi huu ni la hovyo hovyo
Chagua lugha moja unapoandika. Ama tumia Kiswahili au Kiingereza. Mwosha huoshwa.
 
Usidhani kila mtu mwanasiasa hapa.
Taaluma yangu na kazi yangu hainiruhusu kua mwanasiasa wala mimi binafsi sina interest ya kua mwanasiasa, ila kuna mambo yakifanywa na wanasiasa naona yako correct au yako wrong na lazima nitapongeza kwa mazuri pia mabaya nitayaponda tu haijalishi amefanya Magufuli au amefanya Tundu Lissu au mtu yeyote.

Wewe unayeanza kuinua hisia zako dhidi ya watu wanaotuhumiwa kwa money laundering ndio unatia shaka lengo lako nini?
Tusubiri hao watu washinde kesi kwanza, hii nchi siyo mali ya Magufuli wala sio mali ya Chadema wala chama chochote, kwa kua watu walipiga kura iwe ziliibiwa au ccm walishinda kihalali basi serikali iliyoko madarakani inapaswa kushughurika na watu wenye tuhuma kama hizo, hatuna haja ya kuwatetea acheni mahakama iamue

= kushughulika
 
Back
Top Bottom