Lisu atysaidie maana ya money laundering.
Ninavyo jua kutakatisha pesa ni kusafisha pesa iliyo patikana kwa njia isiyo halali ionekane halali.
Mfano umetapeli bilioni moja ukiweka benki unaweza gundulika.
Sasa unatafuta mali yenye thamani hiyo tuseme petrol station unainunua kwa shilling bilion 1 lakini muuzaji anaandika umenunua kwa 500,000.000 na unaenda benki unakopa hizo pesa.
Au una rafiki Arabuni unampa billion hapa akienda huko Arabuni anakutumia pesa. Hiyo ñdiyo money laundering.
Lakini ukinunua mali ya ya serikali kwa bei ndogo tuseme ununue Bandari ya Mtwara kwa bilion 500 na huku thamani yake ni tirion 10.
Nawe utkuwa umetakatisha pesa kwasababu utakuwa umelipa zaidi ya iliyo andikwa