Abuse of office over ‘money laundering charges’ by prosecution machinery in Tanzania

Lisu atysaidie maana ya money laundering.
Ninavyo jua kutakatisha pesa ni kusafisha pesa iliyo patikana kwa njia isiyo halali ionekane halali.
Mfano umetapeli bilioni moja ukiweka benki unaweza gundulika.
Sasa unatafuta mali yenye thamani hiyo tuseme petrol station unainunua kwa shilling bilion 1 lakini muuzaji anaandika umenunua kwa 500,000.000 na unaenda benki unakopa hizo pesa.
Au una rafiki Arabuni unampa billion hapa akienda huko Arabuni anakutumia pesa. Hiyo ñdiyo money laundering.
Lakini ukinunua mali ya ya serikali kwa bei ndogo tuseme ununue Bandari ya Mtwara kwa bilion 500 na huku thamani yake ni tirion 10.
Nawe utkuwa umetakatisha pesa kwasababu utakuwa umelipa zaidi ya iliyo andikwa
 
Ungeiambatanisha hii na bandiko lako namba moja pale juu.
 
Ni kesi ya mwaka gani ...ilipelekwa mwaka gani na imeamuliwa mwaka gani?

Wale wezi wa kuku wanaoshinda kesi ni wangapi na kwa nini hatujawahi kusema prosecution machinery inaabuse office kwa kuwapeleka wezi wa kuku mahakamani ambao kila mara hushinda kesi?
 
Hahaaaa..wakimamlizana na wahindi wataanza na kina Mengi..ukila nyama ya mwanadamu huwezi kuacha
 
~~~>>>Chagua lugha moja ya kutumia ktk bandiko lako eidha Kiswahili ama Kiingereza.


Hili bandiko lako kwa Uandishi huu ni la hovyo hovyo
Chagua lugha moja unapoandika. Ama tumia Kiswahili au Kiingereza. Mwosha huoshwa.
 

= kushughulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…