Abuse of office over ‘money laundering charges’ by prosecution machinery in Tanzania

Ukitaka kuishi Tanzania bila tatizo uwe malaika.
 
Ni kesi ya mwaka gani ...ilipelekwa mwaka gani na imeamuliwa mwaka gani?

Wale wezi wa kuku wanaoshinda kesi ni wangapi na kwa nini hatujawahi kusema prosecution machinery inaabuse office kwa kuwapeleka wezi wa kuku mahakamani ambao kila mara hushinda kesi?
Jingalao usiwe jinga kama jina lako, usilinganishe kuku na mtu kuwekwa ndani bila dhamana. Hata hii sheria ilikotokea USA/Europe hakuna kuzuia dhamana. Ni ukiukwaji wa haki za binadamu kumbambikia mtu kesi isiyo na dhamana. halafu unasema Mniombee! Kwa shetani labda!
 
Unatetea ujinga kwa vile system is favoring your interests!
Jibu maswali yake mkuu b'se mpaka anakuuliza umetumia bla bla tu bila kutoa mifano kuntu sio kila mtu anayeuliza swali ambalo halipo kwenye mlengo wako kwamba system inamfavor no....jifunze kutorely kwenye mihemuko na kusoma situation kwa juu juu tu njoo na mifano inayoeleweka sio kujiandikia tu
 
= kushughulika

Lisu atysaidie maana ya money laundering.
Ninavyo jua kutakatisha pesa ni kusafisha pesa iliyo patikana kwa njia isiyo halali ionekane halali.
Mfano umetapeli bilioni moja ukiweka benki unaweza gundulika.
Sasa unatafuta mali yenye thamani hiyo tuseme petrol station unainunua kwa shilling bilion 1 lakini muuzaji anaandika umenunua kwa 500,000.000 na unaenda benki unakopa hizo pesa.
Au una rafiki Arabuni unampa billion hapa akienda huko Arabuni anakutumia pesa. Hiyo ñdiyo money laundering.
Lakini ukinunua mali ya ya serikali kwa bei ndogo tuseme ununue Bandari ya Mtwara kwa bilion 500 na huku thamani yake ni tirion 10.
Nawe utkuwa umetakatisha pesa kwasababu utakuwa umelipa zaidi ya iliyo andikwa
There is a vast literature on what is money laundering, all in all you have it in a nut shell!
 
Jibu maswali yake mkuu b'se mpaka anakuuliza umetumia bla bla tu bila kutoa mifano kuntu sio kila mtu anayeuliza swali ambalo halipo kwenye mlengo wako kwamba system inamfavor no....jifunze kutorely kwenye mihemuko na kusoma situation kwa juu juu tu njoo na mifano inayoeleweka sio kujiandikia tu
Rubbish
 
Jingalao usiwe jinga kama jina lako, usilinganishe kuku na mtu kuwekwa ndani bila dhamana. Hata hii sheria ilikotokea USA/Europe hakuna kuzuia dhamana. Ni ukiukwaji wa haki za binadamu kumbambikia mtu kesi isiyo na dhamana. halafu unasema Mniombee! Kwa shetani labda!
Tatizo lako huuoni uzito wa kosa la kutakatisha fedha chafu.

Pia huuoni utajiri walionao watakatisha fedha chafu...au labda unadhani sisi tusiofaidika nao hatuuoni.

Kuna threads humu moja ikiongelea Sings wa IPTL akita kusepa kupitia GETI LA VIP...

Thread nyingine ikiinanga mahakama kwa kutoa adhabu ndogo ya kwenye kesi ya bilioni...adhabu ikwa milion mia kadhaa ambazo zililipwa fasta.

Kama wewe sio mnufaika wa fedha chafu huwezi kuacha kutambua uwezo wa kifisadi wa hawa watuhumiwa na ndio maana waliachwa bila kudakwa kwa muda mrefu.

Labda nikuulize unajua hizo fedha chafu zimetumika wapi???...hata huko US huwa wanaweka watu vizuizini kwa muda mrefu bila hukumu...
 
Uzito nauona sana , athali kwenye uchumi, etc. na si ajabu mimi nina idea kidogo ya sheria , nimesoma so many cases of that nature na kuona ni kwa vipi mtu unaweza implicate/suspect somebody to commit that offense. USA/Europe wakimpeleka mtu mahakamani wanakuwa wamem track for a long time na kujiridhisha kuwa hapa hii itakuwa fedha chafu. Siyo hii mtu "anaiba" fedha mnambambikia kosa la money laundering. Nasema hapa mnafanya kwa kukomoa, tuombe mahakama ziwe imara kutenda haki.
 
Wasomi wetu wa kibongo kwa kurefer nje ya nchi hamjambo...unadhani wanaokamatwa hawajawa tracked?
 
Yaani tunaobak salama ni sie wa USWAHILINI [emoji23][emoji23]
Nilikutana na jamaa mmoja mitaa ya posta anamshangilia sana magu,anasema sisi wa mia mbili mia mbili tunafurahia wenye hela wanavyoteseka
 
~~~>>>Chagua lugha moja ya kutumia ktk bandiko lako eidha Kiswahili ama Kiingereza.

Hili bandiko lako kwa Uandishi huu ni la hovyo hovyo
We ndiye hovyo hovyo na uzao wako
 
Sheria ina kiingereza kigumu

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom