AC Milan vs Man UTD...

AC Milan vs Man UTD...

tbc1 hawaonyeshi live, hiyo ni game ya pili baada ya real.
je wapi wanaonyesha ya manu live

Mkuu wala usihangaike. Channel 10 si inashika hapo ulipo? Basi tune channel 10 kwa mechi ya man u.

Ikitokea nimekuingiza kingi 'remove your thank' ktk ma previous sred (utani)
 
Comrades,...
BJ!!!!, ...Belo, Eqlypz, Manda, Saikosisi et al mpo?
...yangu macho! 😀
 
Na kazi ya macho ni kuona majaabu kweli uwanja..tusubirie soon mambo yanaanza
 
JF nafikiri mnanipata...eeh hapa OT, mdudu Rooney anaongeza namba yake kufika magoli 30, ni mbili bila!
 
Hureeeeeeeeeeeeeee Mashetani.....Ronaldo out.....Dah sipati picha mihela iliyotumika kuwanunua wachezaji wote wale madrid afu timu inatoka 2nd round inaumaa kweli.
...VIVA MAN UTD
 
Kwa mara ya sita sasa madrid wanashindwa kufika kwenye robo fainali wakat mashetani wanaweka record vizuri kwa mara ya 4 in a row wanaingia kwenye hii hatua ya robo...
 
Game bado kidoooogo sheikh...
Milan tuko oldtraford tukiongozwa na jembe...
Muheshimiwa Adriano Galliani...
Forza Milan

Forza Milan! Forza Milan! Forza Milan! Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!Forza Milan!

Tatizo lako mkuu baada ya mechi ambao ni wakati wa kujadili unakula kona sijui kwa nini.

Man U 7 - 2 Milan: Sasa tujadili au vinginevyo Edit Thread yako kwa kuweka na list kikosi cha mauji cha Man U
 
Four down..and the Big four to go..Bayern Muchen...Porto....Gooners...Red Devils....waiting for the other Big ones next week..pia tutakaribisha utabiri wa draw za robo zitakavyokuwa..zingatia kigezo kuwa waliowahi kushinda hili kombe hawezi kuchukuliwa pamoja ili kuleta ladha ya mashindano...
 
Back
Top Bottom