That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Baridi huwa naliogopa sana, sitakuwa na amani.Dah basi kama hautaweza kwenda kipindi hiki jipange mwakani miezi ya kuanzia wa sita uende mkoani mbeya, iringa au maeneo ya Makete, Mafinga halafu uone matumizi ya hiyo kitu.
Hautataka kushuka kwenye gari.
unachanganya unatakiwa uelezee thermostat inahusikaje na cooling wewe umetupia tu OnyoAcha kumshauri vibaya mwenzako hilo eneo la thermostat. Hicho kifaa huwa hakitakiwi kutolewa unless kikiharibika kinatakiwa kubadilishwa.
Kazi yake ni very nyeti ..... Hautakiwi kumshauri mtu kutoa Thermostat kwenye gari yake na inafanya kazi sawa sawa.
Hahahah... Kuna mtu alitoa Themostat kwenye VW.nilivoaminishwa gari la japan unatoaa ila za european usitoee 😀 😀 😀 😀
Haitakiwi kuzunguka muda wote ikiwa tu ni fan ya umeme. Labda kama inaendeashwa na mkanda.Inatakiwakuzunguka mda wote au namna gani? Na je ina uhusiano na thermostat?
View attachment 1931002
- huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
- hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
- kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
- jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
- bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
Nissan Xtrail. Ishu ya kuchemsha mliisove, Maana hizo gari ukicheza vibaya na ishu ya kuchemsha lazina ununue engine nyingine.Ni nissan xtrail nt31 2009
Nani huwa anashauri tuweke maji?maji yana tofauti gani na coolant ?
coolant ni more efficienthiyo ethylene glycol ina tofauti gani na maji kwenye kupoza engine ?
Bado hufahamu kazi ya thermostatunachanganya unatakiwa uelezee thermostat inahusikaje na cooling wewe umetupia tu Onyo
nimeelezea katika post yangu point ya 2 kuwa thermostart ni kifaa kinachokaa kati ya engine na rejeta inahusika na kuhifadhi joto la maji ya injini yasipoe ili asubuhi au huko kwenu Mafinga kwenye baridi utakavyowasha mlipuko ndani ya cyilinder combustion itokee
yeye ana Nissan xtrai tena Dsm kwenye joto hiyo kitu atupe mbali na wala asiirudishe kwani kinazuia (Block) utiririkaji wa maji mpaka gari lipate joto
How does the thermostat in a car's cooling system work? Any liquid-cooled car engine has a small device called the thermostat that sits between the engine and the radiator. ... Its job is to block the flow of coolant to the radiator until the engine has warmed up.
Gari za Ulaya matumizi mengi si ya hapa Afrika asikilize ushauri wa mafundi sio sio wa wauzaji wa magari au hadithi za mitaani
sasa gari ipo Dsm kwenye joto 38c eti liwake kwenye 100c ataachaje kusikia gari inachemsha au ina joto
Member MissM4C kamsikilize fundi wa cooling system sio dereva mzoefu
Ni setting wala hakuna ubovu hapoNikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
Si kweli huo ni upuuzi wa mafundiHivi hii nadharia kuwa magari ya japan thermostart lazima uitoe ni kweli?
Hahahahahahaha ...sema za ulaya thermostat muhim sana japo gari zote ni muhim ...kuna mini cooper mpaka zile pipe za hydroric zinapozwa na feni....sasa ifeliii dk hydroric yote chiniHahahah... Kuna mtu alitoa Themostat kwenye VW.
Kwanini radiator fan zisiache kuzunguka. Gari ilichemsha alijuta.
Ok mkuuSi kweli huo ni upuuzi wa mafundi
bado na wewe hujui hata kuchangiaBado hufahamu kazi ya thermostat
bado na wewe hujui hata kuchangia
ungetoa maelezo yako thermostart ni nini tungeanzia hapo
je unajua kwenye radiator kuna Fan zaidi ya moja, nayo tunakata wire wa automati ili Fan ipige direct bila kusubiri joto
kwa huku Nchi za Joto hicho kitu inasumbua sana engine labda Nchi za baridi
Michango ya wenzako kuhusu thermostart
Seems like lots of people ask what will happen if they run their engine without a thermostat. Some people say your engine will overheat because of the constant coolant flow, and some say your engine will just stay cold, so I wanted to try for myself. There are lots of variables, and every car will be different, but I found that it works pretty good. I use this car for just spinning around in the field and having fun, so I like having a temperature "buffer" before it gets too hot.
Uza hilo gari haraka, utakuja kuungua siku mojaNikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
usiyoyajuaHayo mambo ya Thermostat nilishayaeleza a year ago. Pita usome huko.
Thread 'Muhimu: Zijue athari za kuondoa thermostat kwenye gari yako' Muhimu: Zijue athari za kuondoa thermostat kwenye gari yako
Ila siyo kutuambia kazi ya thermostat ni kukeep joto kitu ambacho unatudanganya.
Kuwa heat exchanger ndio kukeep joto ili usishindwe kuwasha gari asubuhi?