unachanganya unatakiwa uelezee thermostat inahusikaje na cooling wewe umetupia tu Onyo
nimeelezea katika post yangu point ya 2 kuwa thermostart ni kifaa kinachokaa kati ya engine na rejeta inahusika na kuhifadhi joto la maji ya injini yasipoe ili asubuhi au huko kwenu Mafinga kwenye baridi utakavyowasha mlipuko ndani ya cyilinder combustion itokee
yeye ana Nissan xtrai tena Dsm kwenye joto hiyo kitu atupe mbali na wala asiirudishe kwani kinazuia (Block) utiririkaji wa maji mpaka gari lipate joto
How does the thermostat in a car's cooling system work? Any liquid-cooled car engine has a small device called the thermostat that sits between the engine and the radiator. ... Its job is to block the flow of coolant to the radiator until the engine has warmed up.
Gari za Ulaya matumizi mengi si ya hapa Afrika asikilize ushauri wa mafundi sio sio wa wauzaji wa magari au hadithi za mitaani
sasa gari ipo Dsm kwenye joto 38c eti liwake kwenye 100c ataachaje kusikia gari inachemsha au ina joto
Member
MissM4C kamsikilize fundi wa cooling system sio dereva mzoefu