Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
mkuu prison break imerudi hauna taarifa???Wasanii wa BongoMuvi wako Mbugani na Mahotelini wakila Pasaka, wakati wasanii wa BongoFleva wako Mikoani wanapiga Kazi.
Sasa hapo unategemea tutanunua Filamu kweli? Wamebakiza kumtumia tu Mkuu wa Mkoa awasaidie utadhani mayatima badala ya kuweka starehe na show-offs pembenj na kupiga kazi..Shame
Huo ni mtandao gani mkuu tujuzaneMkuu jiongeze,hawa bongo movue wakienda mikoani watapiga kazi gani sasa?sanaa ya majukwaan nani anaitaka wakati movie kwake theatre
Hata hizo movie za nje hatununui bali bando lako tu hasa la usiku 1500 una gb 10 unajivutia movie za kutosha
TtclHuo ni mtandao gani mkuu tujuzane
Huo ni mtandao gani mkuu tujuzane
Ni app gani mkuu unaweza download movie??Mkuu jiongeze,hawa bongo movue wakienda mikoani watapiga kazi gani sasa?sanaa ya majukwaan nani anaitaka wakati movie kwake theatre
Hata hizo movie za nje hatununui bali bando lako tu hasa la usiku 1500 una gb 10 unajivutia movie za kutosha
Ahsante kwa kunijuzaa bibieeHalotel usiku anzia saa 6 mpka 12 gb 10 sh 1500
DramaniaNi app gani mkuu unaweza download movie??