According to Instagram, hii ndio tofauti ya BongoMuvi na BongoFleva

Riziki Mohammed

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
118
Reaction score
205
Wasanii wa BongoMuvi wako Mbugani na Mahotelini wakila Pasaka, wakati wasanii wa BongoFleva wako Mikoani wanapiga Kazi.

Sasa hapo unategemea tutanunua Filamu kweli? Wamebakiza kumtumia tu Mkuu wa Mkoa awasaidie utadhani mayatima badala ya kuweka starehe na show-offs pembenj na kupiga kazi..Shame
 
mkuu prison break imerudi hauna taarifa???
 
Mkuu jiongeze,hawa bongo movue wakienda mikoani watapiga kazi gani sasa?sanaa ya majukwaan nani anaitaka wakati movie kwake theatre

Hata hizo movie za nje hatununui bali bando lako tu hasa la usiku 1500 una gb 10 unajivutia movie za kutosha
 
Huo ni mtandao gani mkuu tujuzane
 
Mkuu jiongeze,hawa bongo movue wakienda mikoani watapiga kazi gani sasa?sanaa ya majukwaan nani anaitaka wakati movie kwake theatre

Hata hizo movie za nje hatununui bali bando lako tu hasa la usiku 1500 una gb 10 unajivutia movie za kutosha
Ni app gani mkuu unaweza download movie??
 
ni bora nitazame x ina script nzuri kuliko kutazama uchafu wa malaya wenye viwango vya kimataifa
 
Yaan hvi kuna watu bado wanaangaliaga bingo movie ! Yaan kweli mm wanisamehe tu maana hakuna ubunifu kwenye takataka zao...eti jambazi anavua viatu kuingia ndani aibe [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom