Usidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.Maskini Kenya... huko ndiko mlikofikia????????
Hi umesoma kilicho kuwa posted on tweeter na uhuuru vizuri???πππFuata hii link. Kenya is ranked 61st by world bank in ease of doing business. Tumeshinda South Africa na India. Nimedownload hio list wacha nitaweka saa hii
Explore Economies
Fuata hii link. Kenya is ranked 61st by world bank in ease of doing business. Tumeshinda South Africa na India. Nimedownload hio list wacha nitaweka saa hii
Explore Economies
Kwenye swala la ease of doing business hakuna mtu amekataa. Get my point. Hapa tunaonglea swala la Kenya to lead after 20 years the survey which was conducted by CCN and not world bank.Hii hapa Ease of doing business 2019 from World bank. Watu ambao hawaelewi mambo ya uchumi tafadhali propaganda ya ccm pelekeni mbali. Kenya is ranked 61 na Tanzania 144. Angalieni hiyo list nimeattach. Tudeal na data tafadhali, tuwache propagandaView attachment 918681
Soma tittle nyangau wewe. Cant you even read the title of the tweetπππSasa hapo rais U.Kenyatta anaongea kuhusu WorldBank na rank ya 'Ease of doing business' na wewe unatumia tweet yake kuendeleza pumba zako kuhusu uchumi wa Kenya, vitu viwili tofauti. Hujui kusoma? Hadi ukaanzisha uzi? [emoji1] Kiingereza sio 'mudomo' yako jombaa. Tweet yenyewe ya UK imeandikwa wazi hapo #DoingBusiness. [emoji23]
Click hiyo tweet ya uhuru ikupeleke moja kwa moja tweer ndo uje na conclusion kuwa nimeipachika mimi au yeye UhuruπππUsidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.
Click hiyo tweet cause hapo ipo kama linkπππNataka tujue kama kweli ni mimi au Uhuru.Usidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.
I told you despite there being concesus by WB itself that the list is usualy influenced by politics and lobbying..You would imagine that kenya should lead the region in local and foregn ivestment since its so EASY to do business in kenya..Look at the Numbers now not rigged surveysHii hapa Ease of doing business 2019 from World bank. Watu ambao hawaelewi mambo ya uchumi tafadhali propaganda ya ccm pelekeni mbali. Kenya is ranked 61 na Tanzania 144. Angalieni hiyo list nimeattach. Tudeal na data tafadhali, tuwache propagandaView attachment 918681
Povu na hasira hazisaidiiπππBure kabisa, rudi darasani.