Hiki nikituko cha mwaka. Raisi wakenya kachukua survey iliyokuwa conducted na CNN kupitia kwa Richard Quest kaiweka kwenye tweet yake kama report ya world bank๐๐๐๐๐๐ Taarifa nilizo zipata pia nikuwa kumbe Richard Quest kupitia cnn walilipwa $600,000 kuja kufanya kipindi juu ya Kenya(KQ) Wengi wamelalamika wakidai nipesa nyingi bora wangetumia hata Fox News kwa sababu viewers wa CCN wamepungua kwa jinsi rating inavyo onyesha huko marekani.๐๐๐Always wanting to fake the world. ๐๐๐