According to world bank Kenya economyto lead in Africa in the next 20 Years.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Hiki nikituko cha mwaka. Raisi wakenya kachukua survey iliyokuwa conducted na CNN kupitia kwa Richard Quest kaiweka kwenye tweet yake kama report ya world bank๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Taarifa nilizo zipata pia nikuwa kumbe Richard Quest kupitia cnn walilipwa $600,000 kuja kufanya kipindi juu ya Kenya(KQ) Wengi wamelalamika wakidai nipesa nyingi bora wangetumia hata Fox News kwa sababu viewers wa CCN wamepungua kwa jinsi rating inavyo onyesha huko marekani.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Always wanting to fake the world. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Screenshot_20181102-101520.png
Screenshot_20181102-101507.png
Screenshot_20181102-101831.png
 
Sasa hapo rais U.Kenyatta anaongea kuhusu WorldBank na rank ya 'Ease of doing business' na wewe unatumia tweet yake kuendeleza pumba zako kuhusu uchumi wa Kenya, vitu viwili tofauti. Hujui kusoma? Hadi ukaanzisha uzi? [emoji1] Kiingereza sio 'mudomo' yako jombaa. Tweet yenyewe ya UK imeandikwa wazi hapo #DoingBusiness. [emoji23]
 
Maskini Kenya... huko ndiko mlikofikia????????
Usidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.
 
Fuata hii link. Kenya is ranked 61st by world bank in ease of doing business. Tumeshinda South Africa na India. Nimedownload hio list wacha nitaweka saa hii

Explore Economies
Hi umesoma kilicho kuwa posted on tweeter na uhuuru vizuri???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Fuata hii link. Kenya is ranked 61st by world bank in ease of doing business. Tumeshinda South Africa na India. Nimedownload hio list wacha nitaweka saa hii

Explore Economies
Hii hapa Ease of doing business 2019 from World bank. Watu ambao hawaelewi mambo ya uchumi tafadhali propaganda ya ccm pelekeni mbali. Kenya is ranked 61 na Tanzania 144. Angalieni hiyo list nimeattach. Tudeal na data tafadhali, tuwache propagandaView attachment 918681
Kwenye swala la ease of doing business hakuna mtu amekataa. Get my point. Hapa tunaonglea swala la Kenya to lead after 20 years the survey which was conducted by CCN and not world bank.
 
Sasa hapo rais U.Kenyatta anaongea kuhusu WorldBank na rank ya 'Ease of doing business' na wewe unatumia tweet yake kuendeleza pumba zako kuhusu uchumi wa Kenya, vitu viwili tofauti. Hujui kusoma? Hadi ukaanzisha uzi? [emoji1] Kiingereza sio 'mudomo' yako jombaa. Tweet yenyewe ya UK imeandikwa wazi hapo #DoingBusiness. [emoji23]
Soma tittle nyangau wewe. Cant you even read the title of the tweet๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Usidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.
Click hiyo tweet ya uhuru ikupeleke moja kwa moja tweer ndo uje na conclusion kuwa nimeipachika mimi au yeye Uhuru๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Usidanganyike virahisi, hapo rais Uhuru anaongea kuhusu improvement ya Kenya kwenye ripoti ya 'Ease of doing business' iliyotolewa jana na WorldBank. Hio poll ya CNN mitandaoni hajaitaja popote. Huyo pimbi ameipachika kabla ya tweet ya rais U.K ili awapumbaze wale ambao hawapo makini. Dah! Mleta mada bana, yaani ulijichagulia mwenyewe kutumia kichwa chako kwa shughuli ya kubebea meno tu? Hii sasa ni zaidi ya laana.
Click hiyo tweet cause hapo ipo kama link๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nataka tujue kama kweli ni mimi au Uhuru.
 
Lol.you lyk mentionin' this guy in your posts nowadays.I told you Congolese man. You are obsessed with Richard quest. Too bad he's oblivious of your existence.
 
Ahaaa haaa haaa
mbona nguvu nyingi hivyo?

actually it's undisputed fact that you (Kenya) will top the world list in 5 yrs.
Teh teh teh tihiii
 
Hii hapa Ease of doing business 2019 from World bank. Watu ambao hawaelewi mambo ya uchumi tafadhali propaganda ya ccm pelekeni mbali. Kenya is ranked 61 na Tanzania 144. Angalieni hiyo list nimeattach. Tudeal na data tafadhali, tuwache propagandaView attachment 918681
I told you despite there being concesus by WB itself that the list is usualy influenced by politics and lobbying..You would imagine that kenya should lead the region in local and foregn ivestment since its so EASY to do business in kenya..Look at the Numbers now not rigged surveys
Dq6E0tpWsAE_z2d.jpg
 
Back
Top Bottom