Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Channel ya Youtube ya msanii Ibraah wa Konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana kuna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna uwezekano wakuilidisha tena . Ingekuwa imehackiwa wangeiludisha ila kuwa Terminated dogo inabidi aanze upya.