Account ya Ibraah yafutwa youtube (pigo)

Account ya Ibraah yafutwa youtube (pigo)

Elimu yako babu... Umesha ambiwa terminated hairudi sasa wewe unasema IT mpo kazini duh
Za kuambiwa changanya na za kwako. Mfano nje ya mada, ungeambiwa Babu Seya atatolewa jela siku tatu baada ya kukataliwa rufaa ungekubali?

Back to the topic, hakuna kitu cha kudumu. Kila kitu kina katafunua zake.

Cha kujifunza wewe....never say never in life. Take this from
 
Terminate maana yake ni kusitisha kwa muda tu. Ina maana hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuwa mhusika ame-violate terms and conditions. Nimeonaga mara nyingi mitandaoni ukiwa terminated, pengine huwa inakuwa bahati mbaya tu, ukijitetea na ukathibitika hukukiuka T&C unarudishwa.

Hata kigogo alikuwa terminated sio deleted. Ukiwa deleted means umekutwa na hatia. Hata baba mwenye nyumba anakupa notice of intention to terminate the contract na si kufuta mkataba.
 
Terminate maana yake ni kusitisha kwa muda tu. Ina maana hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuwa mhusika ame-violate terms and conditions. Nimeonaga mara nyingi mitandaoni ukiwa terminated, pengine huwa inakuwa bahati mbaya tu, ukijitetea na ukathibitika hukukiuka T&C unarudishwa. Hata kigogo alikuwa terminated sio deleted. Ukiwa deleted means umekutwa na hatia.
Hata baba mwenye nyumba anakupa notice of intention to terminate the contract na si kufuta mkataba.

Kaka Kuna ku-SUSPEND (SUSPENSION) na TERMINATE (TERMINATION). afadhali ya suspension maana yake inakua ni temporary ila TERMINATION maana yake ni permanent hiyo ndo bai bai.
 
Hata hajulikani wakat wasafi Wana kimkayndo professor na wasipokuwa makini hata Instagram account zao zitafutwa
Wanaendesha mambo kienyeji Sana,walipaswa kuwa na mtu we a IT aliebobea katika maswala ya security,na Hilo ndo swala la msingi kwa mtu anaetumia technologia kama chanzo cha kujipatia kipato.
 
Screenshot_20201017-091808.png

Bado wana nafasi ya ku-appeal,kojea tusubirie.
 
Account ikirudi kuna watu watapata aibu humu. Kila siku wanasema konde label ndogo isiyofaa kulinganishwa nao ila hapa wapo busy kujilinganisha na konde aiseee
Numbisa Hakuna mtu anayelinganisha Kama una uwelewa mzuri ila wadau wanakosoa uwendeshwaji wa label yao wamekuwa wakienda kiuni uni bila kuzingatia weledi ndio maana wadau wanasema waige mfano kwa WCB na ukizingatia Konde boy ametokea WCB so tulitegemea kwa kuwa katokea WCB basi atakuwa baadhi ya vitu kajifunza ila kinachoendelea Ni utopolo mtupu na hiyo inafanya wasanii wake wasikuwe kimziki.We angalia mfano Zuchu hatua aliyopiga Ni kubwa Sana kwa muda mfupi imagine hata kwenye mauzo ya music kwenye audimark boomplay amepita mpaka Alikiba, amekuwa nominees kwenye tuzo 3 za kimataifa lakini angalia wasanii wengine ambao wapo kwenye label zingine Hali zao zikoje?
 
Sijakukwoti sehemu yoyote kiranga komo. Mnamchukia konde mpaka mwenyewe anawashangaa na hana chuki na nyie.

Back
Top Bottom