Account ya Ibraah yafutwa youtube (pigo)

Account ya Ibraah yafutwa youtube (pigo)

Terminate maana yake ni kusitisha kwa muda tu. Ina maana hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuwa mhusika ame-violate terms and conditions. Nimeonaga mara nyingi mitandaoni ukiwa terminated, pengine huwa inakuwa bahati mbaya tu, ukijitetea na ukathibitika hukukiuka T&C unarudishwa.

Hata kigogo alikuwa terminated sio deleted. Ukiwa deleted means umekutwa na hatia. Hata baba mwenye nyumba anakupa notice of intention to terminate the contract na si kufuta mkataba.
Asante kwa kutoa muongozo mzuri na kutoa sintofahamu hii naona wengine walikuwa wanaropoka tu
 
Ukiondoa WCB Kwa kuwa Lebo makini inayofatia no Lebo ya shule yako kama ni secondary au msingi ndio Lebo kongwe Kwa hapa bongo toka nchi imeanza...
Aisee 😂 😂 kmmk
 
Chawa akimtetea boss wake bila point ya msingi
Unafki utakupeleka wapi kuna maisha baada ya kulamba miguu ya watu.
Unajifanya eti umeumia kweli mchawi siku ya msiba wako atalia sana

IT wao wewe we nini?
Anyway juma mond kakupa kimoko Leo?
 
Unafki utakupeleka wapi kuna maisha baada ya kulamba miguu ya watu.
Unajifanya eti umeumia kweli mchawi siku ya msiba wako atalia sana

IT wao wewe we nini?
Anyway juma mond kakupa kimoko Leo?
Juhudi zako za uchawa kwa kondegang usijali harmonize ataziona
 
Back
Top Bottom