Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Nilitegemea ungewasifia wasafiFranky Samuel Kwanza kabisa pole kea yaliyowakuta ila Kuendesha label Ni kazi ngumu ila huku kwetu wanafanya Kama sifa ikiwemo kuendesha kiuni kiuni ndio madhara yake hayo.Kwa hapa bongo label ambayo inaendeshwa kiweledi Ni WCB wale jamaa wamejipanga Wana Hadi wataalamu wa IT walienda shule kabisa ndio maana wanapata Mafanikio makubwa.
Timu ya IT tunashuulikia hili swalaChannel ya youtube ya msanii Ibraah wa konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana Luna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna uwezekano wakuilidisha tena . Ingekuwa imehackiwa wangeiludisha ila kuwa Terminated dogo inabidi aanze upya
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hilo halina ubishi. Katika label inayozingatia mgawanyo wa majukumu kwa kuhakikisha kila kitengo muhimu kina kabithiwa kwa watu talented na wenye elimu basi ni WCB.Nilitegemea ungewasifia wasafi
Hivi wana IT?Timu ya IT tunashuulikia hili swala
Yani lebo kama ile kutokua na IT ni shida kubwa ndo maan WCB yupo kimkyando Jamaa ndo amesomea na amekabidhiwa ulinz wa account zote za wcbFranky Samuel Kwanza kabisa pole kea yaliyowakuta ila Kuendesha label Ni kazi ngumu ila huku kwetu wanafanya Kama sifa ikiwemo kuendesha kiuni kiuni ndio madhara yake hayo.Kwa hapa bongo label ambayo inaendeshwa kiweledi Ni WCB wale jamaa wamejipanga Wana Hadi wataalamu wa IT walienda shule kabisa ndio maana wanapata Mafanikio makubwa.
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wana IT?
21 February Issue sio kumsifia angalia hoja iliyotolewaNilitegemea ungewasifia wasafi
Kweli mnashuulikia. Ila kwa wataalamu wangeshughulikiaTimu ya IT tunashuulikia hili swala
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli mnashuulikia. Ila kwa wataalamu wangeshughulikia
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Hapa ni sehemu ambayo siyo official.Kweli mnashuulikia. Ila kwa wataalamu wangeshughulikia
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Elimu yako babu... Umesha ambiwa terminated hairudi sasa wewe unasema IT mpo kazini duhTimu ya IT tunashuulikia hili swala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mzee baba dahhhUkiondoa WCB Kwa kuwa Lebo makini inayofatia no Lebo ya shule yako kama ni secondary au msingi ndio Lebo kongwe Kwa hapa bongo toka nchi imeanza...
Sidhani Kama watakuwa na IT wale.🤣🤣🤣🤣🤣