Franky Samuel Kwanza kabisa pole kwa yaliyowakuta ila Kuendesha label ni kazi ngumu ila huku kwetu wanafanya Kama sifa ikiwemo kuendesha kihuni kihuni ndio madhara yake hayo.
Kwa hapa bongo label ambayo inaendeshwa kiweledi ni WCB wale jamaa wamejipanga Wana hadi wataalamu wa IT walienda shule kabisa ndio maana wanapata Mafanikio makubwa.