Account ya Mange Kimambi yadukuliwa

Jana nilikua na kikao na dogo Marck Zuckerberg tukaongea mengi sana kuhusu mitandao yake hasa Instagram
 
Furahia tu kuona wenzio wanadharirishwa. Subiri siku uje uone connection ya mama yako ndio uuone ubaya wake. Sasa si hazikugusi unafurahia wenzio wanavyoteseka na kudharirishwa, ipo siku itakugusa.
Kila mtu anawajibika kwa ujinga wake. Kama mtu anakubali kurekodiwa akiwa faragha anategemea Nini simu ikipotea au faragha ikidukuliwa!? Ukishaamua kujitoa akili na wengine wanakusaidia tu kukufundisha kwa njia ngumu.
 
Mwamba naona umekomalia kweli kukaza fuvu.....irene dada ako nini
Balaaa I think ni ndugu wa Irene Ana hasira balaaa[emoji16][emoji16][emoji38]yaaani anateseka mnoooo
 
Tatizo linaanzia kwa hao wanao jirekodi,kwanini ukubali kurekodiwa? Kwanini wapenzi wakigombana wana anza kuvujisha vdo clp zao? Huo ni udhaifu tu,

Sio kwamba namtetea huyo Mange bali mkiacha kujirekodi huyo Mange atapata wapi hizo connection?

Dunia ya leo kila kitu ni biashara,usimuamini mtu.
 
Ashapiga billions za wabongo hata hvyo.
Wanaweza kumfungulia kesi za madai (libel case) kudai fidia na matusi anayowatukana watu na uongo aliowasingizia. Pia wanaweza kutafuta reputational damages.


Wakijipanga na kuweka ushaidi wa post zake, sidhani kama atatoboa. Fidia itakuwa kubwa sana atafilisika.

Lakini pia anaweza kuchunguzwa kwa ku-facitate ubakaji, revenge porn, cyber bullying, biashara ya ngono hata hapa Tanzania, kuvunja privacy laws.

Kama ni kweli wote aliowa-post walikubali au walichukuliwa hizo video wakiwa na akili timamu, kwa utashi wao au madawa ya kulevya yamehusika
 
Hao IG wanaweza nap kumfungulia kesi za madai kwa kumuwezesha kufanya uhalifu.
Sijui miye nafatilia umbea tuuu!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mange Ana folowaz 6m
Application Ina 2875k jus imagine!!!balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…