Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitupa chini, anasaga miguu,,kwa sauti anatoa ukunga anadondokea juu ya meza, huku yupo na dela lake.Kulia Kiswahili ndo kukoje huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] Yule Ana weza akili zake Ana zijua mwenyeweAnajitupa chini, anasaga miguu,,kwa sauti anatoa ukunga anadondokea juu ya meza, huku yupo na dela lake.
Ya mams wema sikuona aiseeLeo hatalala usingizi hata kidogo. Wapi lemutuz!?
Wapi Mama Krish!?
Wapi Mama Wema na wengineo!?
Kila mtu anawajibika kwa ujinga wake. Kama mtu anakubali kurekodiwa akiwa faragha anategemea Nini simu ikipotea au faragha ikidukuliwa!? Ukishaamua kujitoa akili na wengine wanakusaidia tu kukufundisha kwa njia ngumu.Furahia tu kuona wenzio wanadharirishwa. Subiri siku uje uone connection ya mama yako ndio uuone ubaya wake. Sasa si hazikugusi unafurahia wenzio wanavyoteseka na kudharirishwa, ipo siku itakugusa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasemaga ataenda IG HQ alie kiswahili naona yupo njiani sasa.
HahahahaAnajitupa chini, anasaga miguu,,kwa sauti anatoa ukunga anadondokea juu ya meza, huku yupo na dela lake.
Balaaa I think ni ndugu wa Irene Ana hasira balaaa[emoji16][emoji16][emoji38]yaaani anateseka mnooooMwamba naona umekomalia kweli kukaza fuvu.....irene dada ako nini
Ashapiga billions za wabongo hata hvyo.Hawezi hata kufungua ac nyingine? Leo ataimwa.😆
Alishafungiwa akaenda IG head quarters akafunguliwa alilia km mbwaaa....ht Sasa nadhani watamfungulia tuu[emoji1787][emoji1787] Yule Ana weza akili zake Ana zijua mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wafuasi wake je? Unawabrand jina gani?Mange ni psychopath
Ipi hyo mkuu mm sijalioia hyo appDuh hiyo picha ya gigi ndo balaa 100% wanafukua mtaro pale.
Wanaweza kumfungulia kesi za madai (libel case) kudai fidia na matusi anayowatukana watu na uongo aliowasingizia. Pia wanaweza kutafuta reputational damages.Ashapiga billions za wabongo hata hvyo.
Alishafungiwa akaenda IG head quarters akafunguliwa alilia km mbwaaa....ht Sasa nadhani watamfungulia tuu
Wanaomfuatilia ni mazuzu au misukuleNa wafuasi wake je? Unawabrand jina gani?
Bila kua na wanaomfuatilia,asingefanya hayo anayo yafanya,
Dunia ya leo kila kitu ni biashara,
watu wanaangalia hela tu!
Sijui miye nafatilia umbea tuuu!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mange Ana folowaz 6mHao IG wanaweza nap kumfungulia kesi za madai kwa kumuwezesha kufanya uhalifu.