Humu kwenye hii post,kuna pande mbili za watu,wale wanaotaka adhibitiwe Mange,na wanaotaka kujirekodi au kurekodiwa kukome,yaani ni kama mtu una bsnda la kuku,kuku anaenda kuzurula huko,anafukuzwa na kicheche,mwingine anaona kumdhibiti kicheche asimle kuku ndiyo njia nzuri,mwingine anaona amdhibiti kuku,amuonye asiwe anatoka bandani kwasababu ataliwa na kicheche,naye anaona hiyo njia ni nzuri,anyway ukiangalia watu ambao video zomevuja,maadili yao ni questionable,sidhani kama kuna baba na mama wa mtu,ambao wanaishi kimaadili,wanafuatwa makwao wanarekodiwa au wanajirekodi wanaziweka kwenye simu zao,kiasi cha mtu anaweza akajirushia.MAADILI jamani.