650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 300 Reaction score 409 Oct 18, 2026 #1 Yaani nimeshangaa tu naingia inaniambia ni log in Asa nikasema sio kesi nikarequest verification code itumwe kwenye email nashaanga hazifiki Dah nakuja kuangalia Email sio yangu ambayo inatumiwa code Hii imetokea baada ya kujiunga telegram kwenye PC yangu
Yaani nimeshangaa tu naingia inaniambia ni log in Asa nikasema sio kesi nikarequest verification code itumwe kwenye email nashaanga hazifiki Dah nakuja kuangalia Email sio yangu ambayo inatumiwa code Hii imetokea baada ya kujiunga telegram kwenye PC yangu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Oct 18, 2026 #2 Pole
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 300 Reaction score 409 Oct 18, 2026 Thread starter #3 Dah hata sielew nafanyaje
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 300 Reaction score 409 Oct 18, 2026 Thread starter #4 Mtoto halali na hela said: Pole Click to expand... Shukran mkuu
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 300 Reaction score 409 Oct 18, 2026 Thread starter #5 Njia ya sms telegram unahitaji mpaka niwe Premium
Supapawa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2026 Posts 1,076 Reaction score 2,690 Oct 18, 2026 #6 Pole mkuu, hadi nakuonea huruma ulivyotokwa na macho (kwenye avatar) mithili ya Zongobinyo.
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Oct 18, 2026 #7 Fungua nyingine