Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Amani kwako ndg mdau.

Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account.

Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani?


Kuna mdau humu anayefahamu malengo ya hii account?.
 
Hakukuwa na Tweeter wakati wa mwalim Nyerere, oh was there?
Nadhan tu watu wanatengeneza account kwa majina ya watu.
Nishawahi chat na Angelina Jolie online na kunitongoza kanitongoza na kunitumia picha yake akiwa hana bra. Sema mie sijatoka Rombo huko leo wa kitambo sana na gari za Meridian nikashtuka, hapa hakuna Angelina Jolie wala nini kuna tukio litanikuta so nikampotezea. .
 
Na ww fungua yako iiite J.K.Nyerere...then kwenye Name weka Mwl Julius K Nyerere.
 
Nadhani twitet ni monetized ac so ni mchongo
 
Mkuu, unachezea sana bahati. Utajuta.
 
Account ya baba wa taifa inakuwa na followers 86[emoji23][emoji1787][emoji1787] teh teh teh
 
Dah!..
 
Labda siku hizi kwenye shamba la Mungu wanapewa simu na internet ya kutosha, hivyo baba yetu kwa kutukumbuka ameamua kuchat nasi tokea huko.
 
Naona kipindi hicho unakuja mjini ulipanda rombo generation
Siku hizi imetupwa pale mashati
Mmiliki ni nan??
 
Naona kipindi hicho unakuja mjini ulipanda rombo generation
Siku hizi imetupwa pale mashati
Mmiliki ni nan??
Kuna jamaa anamiliki hotel na mabaso mashati anaitwa Tilisho
Sijui mmiliki wa Rombo generation ni nani tho 😄
 
Hata wakati 2pac na akina Bob Marley wanafariki twitter haikuwepo ila leo zipi account zao ambazo ni verified (blue tick)

Nikirudi kwenye mada, hiyo account ya baba wa taifa ni ya mchongo
 
Hata wakati 2pac na akina Bob Marley wanafariki twitter haikuwepo ila leo zipi account zao ambazo ni verified (blue tick)

Nikirudi kwenye mada, hiyo account ya baba wa taifa ni ya mchongo
Kweli kuna account nyingi za michongo siku hizi. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…