Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

Amani kwako ndg mdau.

Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account.

Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani?

View attachment 2280285
Kuna mdau humu anayefahamu malengo ya hii account?.

Mi nafahamu kafungua ili aweze ku share mambo mbali mbali
 
Back
Top Bottom