Acha kubishana kuhusu Dini. Dini ni biashara za watu

Acha kubishana kuhusu Dini. Dini ni biashara za watu

😁😁😁😁 someni au uliza wa jf wakusaidie kijana
Mkuu hutaki kuukubali ukweli tu ila mungu wa waislamu ni ALLAH na mungu wa wakristo ni YESU na mungu wa wabantu mmojawapo ni NYANGAWA na mtume wake ni Kinjekitile ngwale.Unakataa tu sababu unauogopa ukweli mkuu
 
Mkuu hutaki kuukubali ukweli tu ila mungu wa waislamu ni ALLAH na mungu wa wakristo ni YESU u na mungu wa wabantu mmojawapo ni NYANGAWA na mtume wake ni Kinjekitile ngwale.Unakataa tu sababu unauogopa ukweli mkuu
We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious 😁😁 yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.
 
We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious 😁😁 yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.
Unaona sasa unapinga sababu mungu wako ni Allah na unaamini hivyo.Kwa wenzio wakristo Yesu ni mungu wao na hawamuamini huyo Allah mungu wa waislamu.Allah ni mungu wa waislamu,Yehova na mwanae Yesu ni mungu wa wakrsto na wayahudi na Krishina na ukoo wake ni mungu wa wahindu.
 
We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious 😁😁 yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.
Unamjua NYANGAWA ambae ni mungu wa baadhi ya wabantu na mtume wake ni Kinjekitile Ngwale.Au wewe umepokea mila tu za kigeni mkuu??
 
Back
Top Bottom