Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mkuu hutaki kuukubali ukweli tu ila mungu wa waislamu ni ALLAH na mungu wa wakristo ni YESU na mungu wa wabantu mmojawapo ni NYANGAWA na mtume wake ni Kinjekitile ngwale.Unakataa tu sababu unauogopa ukweli mkuuππππ someni au uliza wa jf wakusaidie kijana
Watanisaidia nini wakati na wao wamepokea imani za kigeni kama wewe mkuu.Lazima watanipinga mkuuππππ someni au uliza wa jf wakusaidie kijana
We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious ππ yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.Mkuu hutaki kuukubali ukweli tu ila mungu wa waislamu ni ALLAH na mungu wa wakristo ni YESU u na mungu wa wabantu mmojawapo ni NYANGAWA na mtume wake ni Kinjekitile ngwale.Unakataa tu sababu unauogopa ukweli mkuu
Unaona sasa unapinga sababu mungu wako ni Allah na unaamini hivyo.Kwa wenzio wakristo Yesu ni mungu wao na hawamuamini huyo Allah mungu wa waislamu.Allah ni mungu wa waislamu,Yehova na mwanae Yesu ni mungu wa wakrsto na wayahudi na Krishina na ukoo wake ni mungu wa wahindu.We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious ππ yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.
Unamjua NYANGAWA ambae ni mungu wa baadhi ya wabantu na mtume wake ni Kinjekitile Ngwale.Au wewe umepokea mila tu za kigeni mkuu??We saa umeanza kuleta jokes kwenye vitu serious ππ yesu ni mungu ulisikia wapi mbona hata kwenye bible hakuna kitu kama hicho.