AbdullkadirAli7
New Member
- Feb 19, 2024
- 3
- 2
Mkuu ni jambo la kumshkuru mungu ss amekupa nafac nyengine itumie vzrAcha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako...
Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine...