Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

Akili ya mtu mweusi utaijua tu. Ww una unaona matumizi ya internet ni anasa?
Akiingia mtandao akiangalia anachotaka ww inakusaidia nn?
Kila siku napaswa niweke video 10 Youtube na post 5 kwenye blog. Hiyo ni blog 1 bado zingine zinatakiwa zilishwe
Pia badala ya mda wote kushinda na simu, jitahidi kufanya shughuli ndogondogo hapo nyumbani. Kama kulima lima bustani, kung'olea majani kuzunguka nyumba, usafi wa mazingira, pruni miti, nk. Pia unaweza kutumia mda wako kufanya mazoezi kama jogging, kutembea nk. Pamoja na kukusaidia kupunguza matumizi ya bando, pia utakua unaimarisha afya na kujiepusha na punyeto.
 
Na hilo ndo lilikuwa kusudio la marehemu kwamba watu wapunguze kutumia mitandao
 
Kama hawataki tutumie net zimeni kbs tujue moja, tuaipangiane matumizi, nyie wanatumia wifi za walipa kodi huko maofisini hamuathiriwi na gharama hizi
 
Unajuaje kama video ina mafunzo au haina kabla hujaitizima?
 
Haya ndio mambo ya kumsifia msanii wa muziki kwa kuingiza hela nyingi ila wakati huo huo unaona wanaoenda kwenye show za huyo msanii ni wajinga,sasa sijui hao watu wangekuwa hawaendi kwenye show huyo msanii angepiga hela vp.
 
Honestly Mimi kina cvitu nshaachaga kuangalia. App ambazo Mimi natumia ni All sports, Goal.com, jf tena nafanya ku browser, whatsapp na tweeter. Hayo matelegram, imaistagram na mafesibuku nilishachaga. Hata Kule wasapu nina group mmoja tu, la ukoo.

Ni swala la muda tu, tutazoea.
 
Hapo chacha, amekazana ngono ngonoe kha, anadhani kila mtu ni muumini wa ujinga anaoufanya
Umekaa ukaona siku yako haiendi vizuri ukaamua kuandika ujinga ili upate attention mtandaoni.

Ulijuaje video za ngono zinakula sana MB kama wewe siyo Mwalimu wa kutazama video hizo chafu.
 
PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA.

👉🏿 Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote.

👉🏿Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida

👉🏿Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya xx,magroup ya gossips, magroup ya siasa

👉🏿Punguza na achana na WhatsApp video call zisizo na msingi,sijui kunyegezana &kukojozana n.k yasio msingi.

👉🏿Acha kupost punguza kupost na ku VIEW video status zisizo maana mfano nyimbo,gossips, Post biashara zako na picha za kujenga na quotes za msingi

ANZA KUFANYA YENYE TIJA KAMA HAYA;

👉🏿 Dowload pdf books za kufundisha na kujenga upate marifa hata ya kuwapa wajukuu na wanao

👉🏿 Kuwa bussy kiasi katika mitandao yenye kujenga na kutatua changamoto na kuhabarisha vitu vya uhakika mfano. #JamiiForums,NASA,TRADING FACTORY, Entreprenure forums n.k

👉🏿Tafuta free online course jifunze kwa bando ilo ilo upate maarifa sio kupoteza muda

👉🏿Tazama youtubes video za kujenga na kuongeza maarifa kichwani Fanya udanload tena kwa lowa quality ili wakati huna bundle uwe unatizama

👉🏿Anza biashara za mtandaoni kama Affitlate marketing,Dropping shipping,FOREX&STOCK, n.k

👉🏿Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

Kama unakipato basi huwezi lalamika
NB.Fanya upendacho kwa manufaa yako na taifa

Wako ktk ujenzi wa taifa email
godimpare2@gmail.com
Ushauri wa kiboya sana huu kwa hiyo waliokuwa wanategemea biashara ya mtandaoni unawashauri nini??😬😬😬 badala uishauri sirikali iliangalie hili upya kwa manufaa ya raia wake unapiga bla bla tu
 
PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA.

[emoji1542] Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote.

[emoji1542]Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida

[emoji1542]Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya xx,magroup ya gossips, magroup ya siasa

[emoji1542]Punguza na achana na WhatsApp video call zisizo na msingi,sijui kunyegezana &kukojozana n.k yasio msingi.

[emoji1542]Acha kupost punguza kupost na ku VIEW video status zisizo maana mfano nyimbo,gossips, Post biashara zako na picha za kujenga na quotes za msingi

ANZA KUFANYA YENYE TIJA KAMA HAYA;

[emoji1542] Dowload pdf books za kufundisha na kujenga upate marifa hata ya kuwapa wajukuu na wanao

[emoji1542] Kuwa bussy kiasi katika mitandao yenye kujenga na kutatua changamoto na kuhabarisha vitu vya uhakika mfano. #JamiiForums,NASA,TRADING FACTORY, Entreprenure forums n.k

[emoji1542]Tafuta free online course jifunze kwa bando ilo ilo upate maarifa sio kupoteza muda

[emoji1542]Tazama youtubes video za kujenga na kuongeza maarifa kichwani Fanya udanload tena kwa lowa quality ili wakati huna bundle uwe unatizama

[emoji1542]Anza biashara za mtandaoni kama Affitlate marketing,Dropping shipping,FOREX&STOCK, n.k

[emoji1542]Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

Kama unakipato basi huwezi lalamika
NB.Fanya upendacho kwa manufaa yako na taifa

Wako ktk ujenzi wa taifa email
godimpare2@gmail.com
Nakubali
 
Akili ya mtu mweusi utaijua tu. Ww una unaona matumizi ya internet ni anasa?
Akiingia mtandao akiangalia anachotaka ww inakusaidia nn?
Kila siku napaswa niweke video 10 Youtube na post 5 kwenye blog. Hiyo ni blog 1 bado zingine zinatakiwa zilishwe

Ni kweli mkuu mimi ni mtu mweusi na hii ndio akili yangu. Vipi we mwenzangu ni mweupe? Maana kama na wewe ni mweusi mwenzangu basi akili zetu ndio hizi hizi.. usipanic.
 
[emoji1542]Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

[emoji2][emoji2][emoji2]
 
PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA.

[emoji1542] Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote.

[emoji1542]Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida

[emoji1542]Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya xx,magroup ya gossips, magroup ya siasa

[emoji1542]Punguza na achana na WhatsApp video call zisizo na msingi,sijui kunyegezana &kukojozana n.k yasio msingi.

[emoji1542]Acha kupost punguza kupost na ku VIEW video status zisizo maana mfano nyimbo,gossips, Post biashara zako na picha za kujenga na quotes za msingi

ANZA KUFANYA YENYE TIJA KAMA HAYA;

[emoji1542] Dowload pdf books za kufundisha na kujenga upate marifa hata ya kuwapa wajukuu na wanao

[emoji1542] Kuwa bussy kiasi katika mitandao yenye kujenga na kutatua changamoto na kuhabarisha vitu vya uhakika mfano. #JamiiForums,NASA,TRADING FACTORY, Entreprenure forums n.k

[emoji1542]Tafuta free online course jifunze kwa bando ilo ilo upate maarifa sio kupoteza muda

[emoji1542]Tazama youtubes video za kujenga na kuongeza maarifa kichwani Fanya udanload tena kwa lowa quality ili wakati huna bundle uwe unatizama

[emoji1542]Anza biashara za mtandaoni kama Affitlate marketing,Dropping shipping,FOREX&STOCK, n.k

[emoji1542]Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

Kama unakipato basi huwezi lalamika
NB.Fanya upendacho kwa manufaa yako na taifa

Wako ktk ujenzi wa taifa email
godimpare2@gmail.com
Kulalamika ni haki yetu, wewe kama unalipiwa na serikali kama Dr Mihogo ni kivyako. Usitupangie wapi tulalamike wapi tukae kimya. Huna haki ya kutupangia maisha mlalabure wewe.
 
PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA.

👉🏿 Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote.

👉🏿Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida

👉🏿Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya xx,magroup ya gossips, magroup ya siasa

👉🏿Punguza na achana na WhatsApp video call zisizo na msingi,sijui kunyegezana &kukojozana n.k yasio msingi.

👉🏿Acha kupost punguza kupost na ku VIEW video status zisizo maana mfano nyimbo,gossips, Post biashara zako na picha za kujenga na quotes za msingi

ANZA KUFANYA YENYE TIJA KAMA HAYA;

👉🏿 Dowload pdf books za kufundisha na kujenga upate marifa hata ya kuwapa wajukuu na wanao

👉🏿 Kuwa bussy kiasi katika mitandao yenye kujenga na kutatua changamoto na kuhabarisha vitu vya uhakika mfano. #JamiiForums,NASA,TRADING FACTORY, Entreprenure forums n.k

👉🏿Tafuta free online course jifunze kwa bando ilo ilo upate maarifa sio kupoteza muda

👉🏿Tazama youtubes video za kujenga na kuongeza maarifa kichwani Fanya udanload tena kwa lowa quality ili wakati huna bundle uwe unatizama

👉🏿Anza biashara za mtandaoni kama Affitlate marketing,Dropping shipping,FOREX&STOCK, n.k

👉🏿Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

Kama unakipato basi huwezi lalamika
NB.Fanya upendacho kwa manufaa yako na taifa

Wako ktk ujenzi wa taifa email
godimpare2@gmail.com
Perth ndio id ya Ndungulile
 
Back
Top Bottom