Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

Akili ya mtu mweusi utaijua tu. Ww una unaona matumizi ya internet ni anasa?
Akiingia mtandao akiangalia anachotaka ww inakusaidia nn?
Kila siku napaswa niweke video 10 Youtube na post 5 kwenye blog. Hiyo ni blog 1 bado zingine zinatakiwa zilishwe
 
Na hilo ndo lilikuwa kusudio la marehemu kwamba watu wapunguze kutumia mitandao
 
Kama hawataki tutumie net zimeni kbs tujue moja, tuaipangiane matumizi, nyie wanatumia wifi za walipa kodi huko maofisini hamuathiriwi na gharama hizi
 
Unajuaje kama video ina mafunzo au haina kabla hujaitizima?
 
Haya ndio mambo ya kumsifia msanii wa muziki kwa kuingiza hela nyingi ila wakati huo huo unaona wanaoenda kwenye show za huyo msanii ni wajinga,sasa sijui hao watu wangekuwa hawaendi kwenye show huyo msanii angepiga hela vp.
 
Honestly Mimi kina cvitu nshaachaga kuangalia. App ambazo Mimi natumia ni All sports, Goal.com, jf tena nafanya ku browser, whatsapp na tweeter. Hayo matelegram, imaistagram na mafesibuku nilishachaga. Hata Kule wasapu nina group mmoja tu, la ukoo.

Ni swala la muda tu, tutazoea.
 
Hapo chacha, amekazana ngono ngonoe kha, anadhani kila mtu ni muumini wa ujinga anaoufanya
Umekaa ukaona siku yako haiendi vizuri ukaamua kuandika ujinga ili upate attention mtandaoni.

Ulijuaje video za ngono zinakula sana MB kama wewe siyo Mwalimu wa kutazama video hizo chafu.
 
Kulalama ni haki yatu ya kimsingi..!
 
Ushauri wa kiboya sana huu kwa hiyo waliokuwa wanategemea biashara ya mtandaoni unawashauri nini??😬😬😬 badala uishauri sirikali iliangalie hili upya kwa manufaa ya raia wake unapiga bla bla tu
 
Nakubali
 
Akili ya mtu mweusi utaijua tu. Ww una unaona matumizi ya internet ni anasa?
Akiingia mtandao akiangalia anachotaka ww inakusaidia nn?
Kila siku napaswa niweke video 10 Youtube na post 5 kwenye blog. Hiyo ni blog 1 bado zingine zinatakiwa zilishwe

Ni kweli mkuu mimi ni mtu mweusi na hii ndio akili yangu. Vipi we mwenzangu ni mweupe? Maana kama na wewe ni mweusi mwenzangu basi akili zetu ndio hizi hizi.. usipanic.
 
[emoji1542]Kuwa busy na mambo ya msingi tu,mtu huna hela muda wa kuanza kutizama vichekesho na ukacheka unaupata wapi

[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kulalamika ni haki yetu, wewe kama unalipiwa na serikali kama Dr Mihogo ni kivyako. Usitupangie wapi tulalamike wapi tukae kimya. Huna haki ya kutupangia maisha mlalabure wewe.
 
Perth ndio id ya Ndungulile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…