Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

Naona unaponda sana vichekesho.

Nikwambie tu hatutacha kuangalia vichekesho. Maisha hayako serious hivyo unachotaka yawe.

Kila kitu na wakati wake.
 
WaTZ wengi wapiga kelele wafuata mkumbo...
Achana Nao.
 
Ina maana ukifanya hayo MB zinaongezeka
au zinakwenda taratibu?.....Au kasi data inakuwa nzuri?
.....no mambo mazuri sana Mkuu ila hayo siyo tatizo letu.
Tutaendelea kulalamika tu.
 
Sasa mada yako inasema ni kupunguza matumizi ya data lakini unasema tufanye ambavyo bado vitatumia data,mada siyo mbaya ila umeikosea na utupishe sisi wa movie za Hollwood
 
Yani mwenyewe unaona umeongea jambo la msingi sana, poor reasoning
 
Shida akili zenu zineshikiwa kwenye video, social networks, entertainment upumbavu mlio nao.....

Wengine tunapigania kuwa tunatumia system ambazo zinaendesha maisha yetu ndani ya taasisi zetu na zinakula MB sana....

Kama ukiiwasha tu ndani ya dakika 15 au 20 inakula 1G na tulikuwa tunaipata kwa 1000 je, itanibidi nitumie 9000 kila siku kununua kifurushi!

Sasa nyie na huyo mtu wenu mkahisi wote huwa wanamfuatilia huyo mtu wenu, kamwe huwezi kuzuia kusemwa, kuzuia technology hata mara moja.....

Mnalotakiwa kufanya hakikisheni mnatoa haki,mnajali utu,punguzeni ubabe punguzeni matamko na tuijenge nchi yetu......

Mbona Jk alisemwa sana na hakufikiria kuzima au kuharibu mawasiliano ya watu? Kwanini ni ninyi tu? Punguzeni ulimbukeni kuna leo na kesho ikitokea umeondoka watu watashangilia badala ya kuhuzunika
 
At least Watz wajue bundle ni ghali.
Mtu anakutumia video 50 mbps asee sikua nafungua.
Niligundua kumbe mnapewa vifurushi cheap sana.
Nilipo 2000 tsh 500mb.
 
Wafanyabiashara wameanza kujaa viburi tunarudi kwenye enzi zile
 
At least Watz wajue bundle ni ghali.
Mtu anakutumia video 50 mbps asee sikua nafungua.
Niligundua kumbe mnapewa vifurushi cheap sana.
Nilipo 2000 tsh 500mb.
Mkuu unafurahia? ..unafahamu Tz ina watu masikini choke mbaya milioni kumi na nne?....Khaaa..
 
Mkuu unafurahia? ..unafahamu Tz ina watu masikini choke mbaya milioni kumi na nne?....Khaaa..
Sifurahii hata kidogo,na hakuna Taifa halina maskini tunazidiana tu.
Sasa makampuni ya simu yaendeshe biashara kwa hasara kuwafanya wananchi waskie vizuri?
 
Kwa hiyo Wananchi waumie ili makampuni yajiendeshe kwa faida?
Tunachokilalamikia ni kupata buffer zone
Sifurahii hata kidogo,na hakuna Taifa halina maskini tunazidiana tu.
Sasa makampuni ya simu yaendeshe biashara kwa hasara kuwafanya wananchi waskie vizuri?
 
🤣🤣🤣punyeto haiepukiki kizembe hvyo.
 
Ushauri mzuri ndg ila umeandika kama commands unafoka [emoji1787][emoji28]
 
Akili ya mtu mweusi utaijua tu. Ww una unaona matumizi ya internet ni anasa?
Akiingia mtandao akiangalia anachotaka ww inakusaidia nn?
Kila siku napaswa niweke video 10 Youtube na post 5 kwenye blog. Hiyo ni blog 1 bado zingine zinatakiwa zilishwe
video kumi kwa siku 😳 ,video za aina gani hizo boss?
 
Mkuu kwako gosiple haina maana, hebu usiforce tufanane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…