Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
ukiwa unajitambua huwezi jikuta umenunua huo ujinga upuyange nao bara barani tena kwa miguuuCONTROLA,
Nimecheka kwa sauti ya juu kabisa... mimi ni mwanamke lakini sijawahi jua kwanini wanavaa haya maviatu kabisa yapo na mengine tena
🤣[emoji23]🤣🤣 kuna kitu apa. Lazima kuna raia umemtagetunakuta mtu yuko serious anakutana na msichana barabarani kavaaa haya maviatu kwenye vumbi halafu
Anamuomba namba ya simu....
View attachment 1250573View attachment 1250574
Halafu unategemea mdada wa kuvaa haya maviatu huko kwenye mavumbi na kucha ndefu kama futi mbili hivi
kapaka kucha rangi ya Kijani mgomba Utegemeee kabisa kwa akili yako uachwe pigwa kizinga?
Ukiona tu dada yeyote anakatiza huko mtaani na haya maviatu manyoya na anapuyanga na miguuu Usimpe hata salamu
Huyo ni ATM we jichanganye tu uone kama mtadumu hata mwezi kwa vizinga atavyokubamiza.
Sungura topeeeeee3eeeeMademu classic ni kama wakina wema anataka uhonge gari utaweza mkuu na papuchi ni ile ile acha muhimu tupambane na hawa hawa sungura tope ndio level zetu
😂 😂 😂🤣[emoji23]🤣🤣 kuna kitu apa. Lazima kuna raia umemtaget
Long sandals?I'm here at uswahilini, with mwajuma long Sandler's
Huwa unaya vaa?
ukiwa unajitambua huwezi jikuta umenunua huo ujinga upuyange nao bara barani tena kwa miguuu
wengi wavaa hayo maviatu bara barani ni mitoto,masista duu njaa (wasiopitwa na fashion),nk yani kuna vingine vina manyoya
hivyo nilivyopost cha mtoto halafu mtu unamkuta hana habari mko kwenye mwendokasi kavaaaa halafu kasimama sasa.
Sasa mwanaume aJichanganye amvae mdada wa namna hiyo (yatayompata lazima aje fungua thread)
Ha ha ha ha, hapo jioni au asubuhi alikuomba umuunge kifurushi, Mara ana hamu na kuku, Kuna nguo nzuri kaiona sehemu anaomba umuongezee hela akainunue...... Sms anaandika my, xana, au xaxa....kuna mwingine utakuta anapiga mzinga sh 6000 elfu sita yani hadi huwa nakeleka mtu mzima utaombaje elfu sita huwa naona kama utani basi namtumia elfu kumi.
Hivi ni standard operating procedure au manake mademu wangu wa uswazi tu ndio hunipiga mizinga iyo alafu bado wana zile ukimwita sehemu anakuja na wenzake
Yani mkuu kuna mmoja huyo ananikera xana xijui xababu yani anaweza kuandika usielewe demu mkali lakini shule hakwenda so ni changamoto kweli sometime unatamani ulipige chini lakini ukifikiria kitandani anavyojua kubinuka na kukatika unagailiHa ha ha ha, hapo jioni au asubuhi alikuomba umuunge kifurushi, Mara ana hamu na kuku, Kuna nguo nzuri kaiona sehemu anaomba umuongezee hela akainunue...... Sms anaandika my, xana, au xaxa....
wanaume na sisi tuna mioyoooo ya huduma sana.
sababu sisi ndio huchagua, wewe dada inaelekea unapata tabu sana , endelea kupambania usawa.Sasa mkuu hao wanawake wana tofauti gani na wale wanaume wanaotongoza kwa lengo la kupiga na kusepa tu (na ni wengi mno)??
Yaani mnatakaga wanawake tu ndiyo wajicommit kwenye mahusiano ili waishie kuumia wao tu kila siku si ndiyo??
sababu sisi ndio huchagua, wewe dada inaelekea unapata tabu sana , endelea kupambania usawa.
Ha ha ha..... Vipi anaweza hata kuhimili kupiga stori 2/3, au ndo wale unaona aibu hata kumtambulisha kwa washikaji ye Ni wakuliwa tu nothing more/lessYani mkuu kuna mmoja huyo ananikera xana xijui xababu yani anaweza kuandika usielewe demu mkali lakini shule hakwenda so ni changamoto kweli sometime unatamani ulipige chini lakini ukifikiria kitandani anavyojua kubinuka na kukatika unagaili