Acha kutongoza Uswahilini

Acha kutongoza Uswahilini

CONTROLA,

Nimecheka kwa sauti ya juu kabisa... mimi ni mwanamke lakini sijawahi jua kwanini wanavaa haya maviatu kabisa yapo na mengine tena
ukiwa unajitambua huwezi jikuta umenunua huo ujinga upuyange nao bara barani tena kwa miguuu

wengi wavaa hayo maviatu bara barani ni mitoto,masista duu njaa (wasiopitwa na fashion),nk yani kuna vingine vina manyoya

hivyo nilivyopost cha mtoto halafu mtu unamkuta hana habari mko kwenye mwendokasi kavaaaa halafu kasimama sasa.

Sasa mwanaume aJichanganye amvae mdada wa namna hiyo (yatayompata lazima aje fungua thread)
 
unakuta mtu yuko serious anakutana na msichana barabarani kavaaa haya maviatu kwenye vumbi halafu

Anamuomba namba ya simu....

View attachment 1250573View attachment 1250574

Halafu unategemea mdada wa kuvaa haya maviatu huko kwenye mavumbi na kucha ndefu kama futi mbili hivi

kapaka kucha rangi ya Kijani mgomba Utegemeee kabisa kwa akili yako uachwe pigwa kizinga?

Ukiona tu dada yeyote anakatiza huko mtaani na haya maviatu manyoya na anapuyanga na miguuu Usimpe hata salamu

Huyo ni ATM we jichanganye tu uone kama mtadumu hata mwezi kwa vizinga atavyokubamiza.
🤣[emoji23]🤣🤣 kuna kitu apa. Lazima kuna raia umemtaget
 
Tatizo ninyi wakina Classic hampatikani kabisa hiyo ndiyo shida ilipo 🤭
 
Sasa mkuu hao wanawake wana tofauti gani na wale wanaume wanaotongoza kwa lengo la kupiga na kusepa tu (na ni wengi mno)??

Yaani mnatakaga wanawake tu ndiyo wajicommit kwenye mahusiano ili waishie kuumia wao tu kila siku si ndiyo??
Karma being Karma
 
mwanamke yeyote anaejua k ni mtaji, lazima awe mpiga vizinga bila kujali ni wa uswaz ama classic....
tatzo hujajua kutofautisha tu mkuu.
 
ukiwa unajitambua huwezi jikuta umenunua huo ujinga upuyange nao bara barani tena kwa miguuu

wengi wavaa hayo maviatu bara barani ni mitoto,masista duu njaa (wasiopitwa na fashion),nk yani kuna vingine vina manyoya

hivyo nilivyopost cha mtoto halafu mtu unamkuta hana habari mko kwenye mwendokasi kavaaaa halafu kasimama sasa.

Sasa mwanaume aJichanganye amvae mdada wa namna hiyo (yatayompata lazima aje fungua thread)

Ha ha ha kitakachomkuta atakuja kufungua thread............ wewe ni shida
 
kuna mwingine utakuta anapiga mzinga sh 6000 elfu sita yani hadi huwa nakeleka mtu mzima utaombaje elfu sita huwa naona kama utani basi namtumia elfu kumi.

Hivi ni standard operating procedure au manake mademu wangu wa uswazi tu ndio hunipiga mizinga iyo alafu bado wana zile ukimwita sehemu anakuja na wenzake
Ha ha ha ha, hapo jioni au asubuhi alikuomba umuunge kifurushi, Mara ana hamu na kuku, Kuna nguo nzuri kaiona sehemu anaomba umuongezee hela akainunue...... Sms anaandika my, xana, au xaxa....
wanaume na sisi tuna mioyoooo ya huruma sana.
 
Ha ha ha ha, hapo jioni au asubuhi alikuomba umuunge kifurushi, Mara ana hamu na kuku, Kuna nguo nzuri kaiona sehemu anaomba umuongezee hela akainunue...... Sms anaandika my, xana, au xaxa....
wanaume na sisi tuna mioyoooo ya huduma sana.
Yani mkuu kuna mmoja huyo ananikera xana xijui xababu yani anaweza kuandika usielewe demu mkali lakini shule hakwenda so ni changamoto kweli sometime unatamani ulipige chini lakini ukifikiria kitandani anavyojua kubinuka na kukatika unagaili
 
UKIKUTANA NA DEDMU WA MIZINGA MIZINGA KWA SABBU NYINGI NYINGI, KAA UKIJUA KUNA WENZIO 5 HIVI WANAAMBIWA UJUMBE HUO HUO. Halafu kuna kenge mmoja kimbelembele anajitokeza kutoa ufadhili.
 
Binafsi sina demu cheap since nikiwa chuo.. Nilijiwekea msimamo wa kutoingiza mashne yangu kwa mwanamke wa ajabu ajabu..

Sijawahi kuhonga hata mia.

Classy bebez raha.. Mtt anakuja kwangu na gari yake or uber.. Siombwi hata mia..

Kuna muda nafulia...manzi anakuj home anasimamia show wiki nzima.. Msosi yeye..hela ya wese niend job ananipa yeye.. And many thngs..

Akipata shda namsaidia pia

wapo watatu na wote ni classy.. Cna presha.
 
Sasa mkuu hao wanawake wana tofauti gani na wale wanaume wanaotongoza kwa lengo la kupiga na kusepa tu (na ni wengi mno)??

Yaani mnatakaga wanawake tu ndiyo wajicommit kwenye mahusiano ili waishie kuumia wao tu kila siku si ndiyo??
sababu sisi ndio huchagua, wewe dada inaelekea unapata tabu sana , endelea kupambania usawa.
 
Mkuu ukishajua kujibu kwa hoja na siyo mihemko basi rudi tena,, Nipo..
sababu sisi ndio huchagua, wewe dada inaelekea unapata tabu sana , endelea kupambania usawa.
 
Yani mkuu kuna mmoja huyo ananikera xana xijui xababu yani anaweza kuandika usielewe demu mkali lakini shule hakwenda so ni changamoto kweli sometime unatamani ulipige chini lakini ukifikiria kitandani anavyojua kubinuka na kukatika unagaili
Ha ha ha..... Vipi anaweza hata kuhimili kupiga stori 2/3, au ndo wale unaona aibu hata kumtambulisha kwa washikaji ye Ni wakuliwa tu nothing more/less
 
Back
Top Bottom