Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hizi conditions ambazo zimewekwa na tumezizoe ndio chanzo cha muamivi yetu na Sonona zetu
Kama utaamua sasa kuwa kama unavyosema utaepukana na sonona na unyonge kwenye maisha yako,piga show swala la yeye kafika kibo au laa muachie yeye,maadamu umefanya juhudi kumuandaa na fore play ilikuwa nzurWell said mkuu.
Sasa sitaumia nisiposifiwa na wife kuwa nimemfikisha kibo.
Hapo kabla bila kusifiwa kuwa nimepiga show, basi silali hadi asubuhi.
Yaani Kila siku mimi silali hadi ufanisi wangu kazini umepungua. Nasinzia tu ofisini 🥲.
Expectations ndio hulimit furaha yetu tunatarajia na tunapanga tukipata pesa , kitu, mtu ndio tutajihisi furaha. Endapo ikienda tofauti tunaumia zaidi.Hizi conditions ambazo zimewekwa na tumezizoe ndio chanzo cha muamivi yetu na Sonona zetu
Why if tukianza kuwaza tofauti?
Why if tukijua kwamba kwa ground mambo always hayawi the same?
Hili nitalifanyia kazi home boy.Kama utaamua sasa kuwa kama unavyosema utaepukana na sonona na unyonge kwenye maisha yako,piga show swala la yeye kafika kibo au laa muachie yeye,maadamu umefanya juhudi kumuandaa na fore play ilikuwa nzur
Huwezi mfikisha mtu mwenye stress za vikoba kibo,hizo ni shida zake
💯💯💯View attachment 3617599
Siri ya Kuepuka Huzuni na Unyonge Kwenye Maisha:
Punguza Matarajio
Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama unavyofikiria wewe.
Tunapoweka matarajio makubwa kwa watu, tunajisahau kuwa uhalisia wa maisha yao na vipaumbele vyao vinaweza vikawa tofauti kabisa na vyetu.
Fikiria mifano hii:
Mfano wa 1: Wewe una desturi ya kuwajulia hali ndugu zako mara kwa mara. Ndani ya nafsi yako, unatarajia nao wakukumbuke kwa kiwango hicho hicho. Wasipofikia kigezo hicho, unajikuta umebaki na huzuni na upweke.
Mfano wa 2: Kwenye mahusiano, unamjulia hali mwenza wako kila wakati kuonyesha upendo wako. Unatarajia na yeye afanye vivyo hivyo, lakini unagundua yeye hana kabisa habari na mfumo huo wa maisha.
Tatizo sio wao kutokupigia simu au kutokutafuta. Tatizo liko kwako kwa kutaka kulazimisha kila mtu afikirie kama wewe. Binadamu tunatofautiana.
Ukifanikiwa kuujua na kuukubali ukweli huu, utaepuka unyonge na mawazo hasi. Utafahamu kuwa wewe na wao ni watu wawili tofauti kabisa.
Chukua somo hili leo, litakusaidia kulinda amani ya moyo wako na kuepuka huzuni zisizo na lazima.
Ni hayo tu!
Yani hapo kwenye gratitude [kushukuru] ndio mtihani mkubwa sana,always tunaona ambavyo hatuna ndio vina thamani na kusahau neema ambayo tunazo,mathalani ebu muone mtu ambaye ni kipofu,au kiziwi, je huoni neema kubwa tumepewa mpaka tupo hapa jf tunasoma na kuandika nyuziExpectations ndio hulimit furaha yetu tunatarajia na tunapanga tukipata pesa , kitu, mtu ndio tutajihisi furaha. Endapo ikienda tofauti tunaumia zaidi.
^Kingine hatuna shukrani(gratitude) hata kwa vile tulivyonavyo tukishakipata tunasahau na kulaumu kwa kukosa kile ambacho tunapambania kukipata.
Katika dunia iliyojaa mambo mengi tenda wema kiasi nenda zako ukitenda wema sana watu wanakutumia.
Najua hutaniangusha Ayatolah wa jfHili nitalifanyia kazi home boy.
Akili kubwa haikimbii tofauti ya watu inajifunza, kuichambua, na kuchuja. Kuacha kila asiyekuelewa si hekima, ni kupunguza nafasi ya kukua.Hakuna kujipa umuhimu kubadilisha watu wawe unavyotaka chagua unaoweza kwenda nao sawa songa mbele
Wasiokuelewa achana nao
Punguza ushaurii baasii
🔥🔥,Punguza Matarajio
Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama unavyofikiria wewe.
Ugumu unakuja kwenye mazoea ya muda mrefu ambayo tumeyazoe,kwahiyo kufikiri tofauti napo inahitaji mazea ya muda mrefu ili tuwaze tofuati🔥🔥,
sio rahisi ila utaishi kwa amani sana
Amani haiji kwa kubadilisha watu, inakuja kwa kupunguza matarajio yako juu yao.Hakuna kujipa umuhimu kubadilisha watu wawe unavyotaka chagua unaoweza kwenda nao sawa songa mbele
Wasiokuelewa achana nao
Punguza ushaurii baasii
Mwanzo unakuwa unaumbia ubongo na baada ya muda ubongo ndio unakwambia weweUgumu unakuja kwenye mazoea ya muda mrefu ambayo tumeyazoe,kwahiyo kufikiri tofauti napo inahitaji mazea ya muda mrefu ili tuwaze tofuati
Swala hapa ni kuamua kuanza kufikir tofauti na baada ya muda ni kama kumsukuma mlevi
Thank you my beyView attachment 3617599
Siri ya Kuepuka Huzuni na Unyonge Kwenye Maisha:
Punguza Matarajio
Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama unavyofikiria wewe.
Tunapoweka matarajio makubwa kwa watu, tunajisahau kuwa uhalisia wa maisha yao na vipaumbele vyao vinaweza vikawa tofauti kabisa na vyetu.
Fikiria mifano hii:
Mfano wa 1: Wewe una desturi ya kuwajulia hali ndugu zako mara kwa mara. Ndani ya nafsi yako, unatarajia nao wakukumbuke kwa kiwango hicho hicho. Wasipofikia kigezo hicho, unajikuta umebaki na huzuni na upweke.
Mfano wa 2: Kwenye mahusiano, unamjulia hali mwenza wako kila wakati kuonyesha upendo wako. Unatarajia na yeye afanye vivyo hivyo, lakini unagundua yeye hana kabisa habari na mfumo huo wa maisha.
Tatizo sio wao kutokupigia simu au kutokutafuta. Tatizo liko kwako kwa kutaka kulazimisha kila mtu afikirie kama wewe. Binadamu tunatofautiana.
Ukifanikiwa kuujua na kuukubali ukweli huu, utaepuka unyonge na mawazo hasi. Utafahamu kuwa wewe na wao ni watu wawili tofauti kabisa.
Chukua somo hili leo, litakusaidia kulinda amani ya moyo wako na kuepuka huzuni zisizo na lazima.
Ni hayo tu!
Mwanzo unakuwa unaumbia ubongo na baada ya muda ubongo ndio unakwambia wewe