Acha kuumia,huwezi kuwafanya watu wafikiri kama wewe

Hiyo mtu anayewajulia hali sana wenzake, anayewapigia simu sana, anaona wengine wabinafsi hawamjali yeye.

Lakini kiukweli yeye ndiye mbinafsi anafanya mambo kwa kutegemea wengine walipize.

Angesalimia kwa nia ya kuwajulia hali wengine tu, asingejali sana kama wao hawamjulii haki yeye.

Ni kama anafanya biashara ya kujuliana hali na anategemea malipo.

Tabia mbaya sana hiyo. Ni kuwa passive aggressive.
 

Fact​

 
Akili kubwa haikimbii tofauti ya watu inajifunza, kuichambua, na kuchuja. Kuacha kila asiyekuelewa si hekima, ni kupunguza nafasi ya kukua.
Sawa kila mtu afanye anavyoona kwake ni sahihi mda hautoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…