Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Hilo ni tatizo lao na si lako๐๐Nina wasi wasi hamas waeisha shindwa
๐๐๐๐Mi nikiwazaga kuna kipindi jf tulikua tunapata vocha daah naumia sana (yaliyopita)
Naumia zaidi baada ya uzi wetu kurudishwa ila mod wakapita nao.. (yajayo)
Mi nikifikilia kuwa hakuna kitu kinadumu milele daah huwa nainjoi sna najikuta kama molecules in air๐๐๐๐
Ni sehemu ya maisha,dunia haikuumbwa mambo yawe mazuri kila siku kuna nyakati ambazo mambo hayaendi kama tunavyotaka,ndio maana hata dunia yenyewe imeinama kidogo katika mhimili wake kuonyesha mambo siku zote hayata kuwa sawa boss
Ni sahihi kabisa hata ukiwa na nyakati ngumu unajua ipo siku moja kila kitu kitaisha,inaleta matumaini na faraja piaMi nikifikilia kuwa hakuna kitu kinadumu milele daah huwa nainjoi sna najikuta kama molecules in air
Sana mkuu..Ni sahihi kabisa hata ukiwa na nyakati ngumu unajua ipo siku moja kila kitu kitaisha,inaleta matumaini na faraja pia
Asante sana boss kwa maneno yenye hekima na busara kubwa,yanatia faraja na yanaleta matumaini piaMada nzuri sana
..Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
..Ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.
..Tusi isumbukie kesho mana kesho itajisumbukia yenyewe
..KESHO yetu ni ya Mungu ,tusijivunie kuhusu kesho siri ya kesho yetu anayo Muumba wetu.
**NANI KAIONA KESHO?
NINI TUKIFANYE.
Tufanye mambo yote kwa utukufu wa Mungu sio kwa mashindano wala kwa kujivuna ila kila mmoja wetu ampende mwenazake(jirani) na amuhesabu mwenzake kuwa ni bora kuliko yeye
Tutambue ukimwengu mzima/dunia na vyote viujazavyo ulimwengu na wakaao ndani yake ni mali ya Mungu.
Tujinyenyekeze mbele za Mungu tuwe na utu kwa watu tuwe wanyenyekevu na wenye upendo,tukimtumainia Mungu,tukimpendeza Mungu na wanadamu
TUKIJUA DUNIANI sio kwetu,sisi ni wasafiri ,DUNIANI tunapita.
Lakini tunapitaje duniani tuache alama nzuri maisha yetu yawe kielelezo kizuri cha mtu mwema.
Kwanini ulijiita poor brain wakati naona ni rich brain๐๐Sana mkuu..
Inafikia kipindi hata kifo tena inakua si jambo la kustukiza ukiishi ndani ya hii misingi..
Nathing permanent... Sio mapenzi, maisha, matatizo wala nini..
Ni kuyakabili tu na kuishi nayo...
Ahaha au sio broHilo ni tatizo lao ni si lako๐๐
๐๐Kila kitu kinapita,tumtumainie Mungu kwa kila jambo...