Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mkuu, soma katikati ya mistariKichwa cha Uzi na habari havina muunganiko! Sahihisha ujumbe wako.
Mataga unaweweseka kweli kweli. Pata maji upunguze hasira.kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani
kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate
ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu
Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
Magufuli alidanganya taifa... eti atcl inapata faida kumbe wizi mtupu..kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani
kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate
ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu
Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
mnajishitukia sana kila tukileta hoja mnajishitukia na bado hata hivyo mawazo hayafiKazi unayo mkuu. Bado unatembea matopeni wakati wenzio wameshakata lami.
Mpaka huu mwaka uishe utakuwa umeshapata wendawazimu kwa stress. Mama bado yupo sanakuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani
kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate
ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo matokeo yake unaharibu
Ndio maana leo Watu wanasoma theory za akina Newton watu wanazifuata leo
Nani anajishtukia?! Kwa lipi? Kila zama na kitabu chake bwashehe. Wewe umeng'ang'ana tu. Haya endelea bwana 🤣🤣🤣🤣🤣😂.mnajishitukia sana kila tukileta hoja mnajishitukia na bado hata hivyo mawazo hayafi
mawazo huwa hayafi mawazo huishi milele shauri yakoNani anajishtukia?! Kwa lipi? Kila zama na kitabu chake bwashehe. Wewe umeng'ang'ana tu. Haya endelea bwana 🤣🤣🤣🤣🤣😂.
Theory hizo zimegharimu maisha ya watu wengi nikukumbushe tu gallileo gallileiKwa hiyo zile theory za Newton, zote zimegharimu jasho, machozi na damu?
Ina maana Newton alikuwa akilia akiandika hizo theory huku akivuja jasho na damu??
Mhmhhm mhmhmhmh