Acha shule fanya biashara

Unajikanyaga then unalia unasema mengi alitafuta mtaji tu then akasepa kwenye hiyo fani yake sio.

Mkuu nielezee nimepotezaje pesa while I Chase Money Here kwako kupoteza pesa kunamaana gani labda nikufanya ulichosomea huku unakufa njaa labda not serious.

Una story yoyote ya walifanikiwa kwa kufanya walichosomea then nitakuletea story 100000 za walopiga take walichosomea na kutusua unazani JeffBezos kasomea finance, Mengi kasomea Habari, Viwanda nk.

Hawo waganda unaowasema wanamafanikio gani mbona mimi siwajui.

Unaposema kibabaishaji unamaanisha nini.

Uwezi jiita Enterprener alafu unajifunga na elimu yako wewe huna tofauti na mtumishi tu nani alikulazimisha kwakuwa wewe mwalimu uanzishe tuition nasii kiwanda cha juisi.
 
mwambie mkuu hasikalili
 
Nani kakukaririsha kuwa ulichosomea ndio lazima ufanye biashara hio? Kuna mtu nilifanya nae biashara mwisho akaniuliza umesomea SALES? Nikamwabia hapana,kwanini umeniuliza, akajibu kifupi 'maaan you can sale'. Mwingine ni rafiki yangu wa utotoni. Huyu alikuja ofisini kwangu mwisho akaniuliza....' rafiki nakumbuka ulikuwa chuo unasomea so and so? haya unayofanya leo umesomea wapi,uko so deep'....nilibaki nacheka. Usikariri mzee, unaweza kusomea hiki lakini mwisho wa siku ukafanya kitu tofauti haina maana kuwa ulipoteza muda kusoma ulichosomea kwa njia moja au ingine kinakusaidia tu
 
Kwangu mm elimu kwa tanzania naona mwisho ni form 6 tu na jkt vinatosha sana kukupa uwezo wa kupambana na maizha ya mtaaa

Sija idharau elimu ya chuo, elimu yetu ya chuo wanaofaidika ni wale watu wa science yan zile faculties zote karibia 80% wanaosoma sayani wanafaidika nazo kwasababu wanaenda apply walichosoma uko kazini pia mtu kama mfamasia anaweza fanya kazi pia akatumia cheti chake kufungua duka la dawaa hapo kaingia kwenye biashara sasa ambapo itakuwa ngumu mtu kama ww albae hujasoma famasi kufungua duka, ambapo itakuhitaji kumfuata mfamasia akusaidie cheti. Uo mfano tu

Kwa mda niliokaa chuo nilipata faida ya exposure ya kukutana na watu mbalix2 ambapo utabadilka uwezo wa kufikiri kutonana watu hao kama utakua mtu wakujifunza kutokana na watu pia kubadili mazingira ni kitu muhimu sanaa katika kujifunza mfn ulitoka kwenu Kongwa ukaenda Mwanza sauti hapo utajifunza fursa mpya zitokanazo na ziwa na vitu kibao amabapo kongwa hakuna

Pia unapokua chuo vile kusoma fu mavitu ya chuo yale magumu kidogo na akili nayo inapanukaa kwaiyo utaweza chakata mambo kwa level ya tofauti na mtu ambaye hajafika chuooo,

Chuo watu wanasoma kazi ila sio ujanja wa maisha ujanja utaupata baada ya kutengeneza connections za kutosha na kukubali kuchange kutokana na mazingira na watu

Ushauri wangu:
saiv una 26 na upo vizuri tayar kwenye biashara zako, ni bora ukasoma mambo ya biasahra uku ukijikita zaidi kwenye biasahra zako hapo unaweza soma madarasa ya jioni au open ili upate mda mzuri wa kufanyaa biashara kwa sana na masomo, umri umeenda kidogo sio muda wakusoma unachotaka ila upo katika umri wa kujifunza zaidi katika kile ulichofanikiwa nacho zaidi
 
Acha na maswala ya kusoma madarasa, vidato na madegree ya kwenye makaratasi, unachotakiwa ni kufikiri tofauti wakati wengi wanafikiri kwenda kukalili vitini na vitabu visivyo na msaada wewe jipange kukuza Biashara yako ili uwaajiri watakapohitimu. Anko aliacha kazi akaenda kusoma Sasa hivi amehitimu analaumu sana muda alioupoteza japo amemapata kazi mgodini
 
Mkuu sema ukweli ni unaanza diploma na huna biashara.
Mm nimesoma mpk degree ila now nimeweka vyeti benchi napambana na kufuga kuku wa kienyeji sina shida ndogo ndogo
 
Very interesting thread.
Nachoshauri ni tutengeneze ajira na siyo kutegemea kuajiriwa.
 

Asante
 
Inawezekana yuko sahihi lakini na wewe pia angalia malengo yako kwenye hiyo elimu unayoenda kuitafuta. Kama unaenda ili tu uwe na degree hata mimi nakushauri achana na hilo wazo fanya mambo mengine
 
Yapo mambo usipokua na elimu ya juu utaona ni magumu kuyafanya lakin mambo hayo hayo pindi unapokua na elimu ya juu utaona haikuhitaji kuwa nayo ili uweze kuyafanya.
Somo: Elimu angalau ya shahada hukupa mwanga na uthubutu wa kufanya mambo ambayo hukuwa ukifikiria utaweza kuyafanya pindi haukua na elimu hiyo au ukilinganisha na mtu asie na elimu hiyo
 
Unaikataa shule huku naikubali
 
Kuna biashara lazima uwe umesoma zingine huhitaji.mfano biashara za madawa ya binadamu na mifugo nk lazima uwe umesoma
Ndugu yangu hapo nadhani umepotosha maana hiyo biashara wanaifanya haya ambao hawajasoma na wanatuajili Sisi tunaodhani kuwa tuwa temesoma
 
Huo ndio ukweli japo watu hawapendi kuambiwa hivyo.kwani nchi Kama China mbona watu wamejua ukweli na wakaufanyia Kazi sahzi wamefka mbali
 
Watanzania wengi wanakosa Msingi wa Elimu ndio maana mtu anafika chuo hata kujieleza hawezi
 
Wewe acha uboya wewe!!!

Watu tuna_burn CD huku kitaa na hatuna wasiwasi!!!

Bichwa hilo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…