Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,357
- 1,596
- Thread starter
- #101
Yani usilologwe ukaacha ela ukaenda kusoma assume kila siku biashara inakuingizia faida ya 20000 or 15000 ulipo ajiriwa kwasiku 10000 jumla kwasiku una 25000 zidisha kwa mwenzi 750000 hii toa matumizi kwamwenzi 150000= 600000zidisha kwa 12=7200000 hii ela toa 1000000 inabaki 6200000 ×7 jibu utakalo pata fananisha nakaratasi ambalo utapewa baada yakusoma alafu urudi mtaani uanze kuishi kama Mimi ambae ninaandika ujumbe huu nikiwa nimeweka cheti ambacho nimekininua kwamda wangu na ada zangu alafu sahivi ninaishia kupika karanga nakutembeza mamaeeee
Aaaaaah umetisha mkuu